Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askari 15 waliofariki Sudan,DRC walipwa fidia

WIZARA ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), imeshawalipa mishahara ya miezi sita kama fidia askari 15 waliofariki wakiwa kazini Darfur, Sudan na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Watu 174 walipwa fidia Mwandiga

ASILIMIA 80 ya wananchi 218 wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma, wamelipwa fidia mpaka sasa ili kupisha ujenzi wa Kituo cha Usafirishaji cha Mwandiga.

 

10 years ago

Dewji Blog

Walipwa fidia ya mil 263/- kupisha ujenzi wa chuo

DSC00832

Mkurugenzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania tawi la Singida, Hassanal Issaya akiwa ofisini kwake akitekeleza majukumu yake ya kila siku.

Na Nathaniel Limu, Singida

CHUO cha utumishi wa umma  Tanzania tawi la mkoa wa Singida,limetumia shilingi 263 milioni kulipa fidia kwa wakazi wa kijiji cha Sasu kata ya Mungumaji manispaa ya Singida,ili waweze kupisha ujenzi wa chuo hicho mwaka wa fedha ujao.

Hayo yamesemwa  na Mkurugenzi wa chuo hicho, Hassanal Issaya, wakati akizungumza na MOblog...

 

11 years ago

Michuzi

ASKARI POLISI WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA GARI WAAGWA LEO MKOANI DODOMA TAYALI KWA MAZISHI

Askari Polisi waliofariki katika ajali ya gari ya kugongana uso kwa uso na basi la Mohamed Trans wameagwa leo Mkoani Dodoma tayari kwa mazishi.
Akiongea kwa masikitiko Kamishna Msaidi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME amewashukuru watu waliojitokeza kuungana pamoja kuaga miili ya Askari hao.
Pia amewataka madereva wote kuwa waangalifu wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto na kuzingatia sheria za usalama barabarani ili kuepuka ajali zinazoweza kujitokeza za namna hii. Miili ya Askari...

 

11 years ago

Habarileo

`Serikali haijatelekeza askari waliopigana DRC’

SERIKALI imesema hakuna askari wake halali, aliyepelekwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) au nchi nyingine yoyote, kushiriki operesheni ya kivita na mapigano bila kufuata taratibu.

 

5 years ago

BBCSwahili

Sudan imetakiwa kuwalipa fidia walioathiriwa na mlipuko wa ugaidi katika balozi za Marekani Tanzania na Kenya

Mahakama ya juu imetoa uamuzi wa kuwafidia waathiriwa wa mlipuko wa bomu la 1998 nchini Kenya na Tanzania

 

10 years ago

Mwananchi

‘Soko la mahindi lipo DRC, Sudan Kusini’

Naibu katibu mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Yamungu Kayandabila amewataka wafanyabiashara kuchangamkia soko la mahindi na mchele katika nchi za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Sudan Kusini.

 

9 years ago

BBCSwahili

Askari Sudan wadaiwa kuua na kubaka raia

Kikosi kimoja maalum cha serikali nchini Sudan kimeshutumiwa kwa kutekeleza maujai ya halaiki na ubakaji wa raia katika eneo la Darfur.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima Ruvuma walipwa bil. 6/-

SERIKALI kupitia Wakala wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula (NFRA) Kituo cha Songea, mkoani Ruvuma imewalipa wakulima sh bilioni 6.6 walizokuwa wakidai baada ya kuuza mahindi yao. Mkuu wa Mkoa...

 

10 years ago

Habarileo

TAZARA walipwa mishahara ya miezi 4

WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) waliokuwa wakidai mishahara yao ya miezi mitano, jana walilipwa sehemu ya madai hayo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani