Askofu amtaka Lukuvi atubu
ASKOFU wa Kanisa la Methodist Jimbo la Dodoma, Joseph Bundala, amemtaka Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi, atubu makosa yake ili asamehewe. Lukuvi akiwa katika sherehe za...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Mwigulu atubu kwa TB Joshua
NAIBU Waziri wa Fedha na Uchumi (Sera), Mwingulu Lameck Nchemba, amekimbilia kwa Mchungaji maarufu duniani, TB Joshua, wa nchini Nigeria, kufanya toba, kuombewa na kupata kile kinachoaminika kuwa ni utakaso....
10 years ago
GPL
JOHARI ATUBU KUMPORA RAY KWA MAINDA
5 years ago
Michuzi
ASKOFU MSAIDIZI EUSEBIUS NZIGILWA ATEULIWA KUWA ASKOFU MPYA JIMBO KATOLIKI LA MPANDA


11 years ago
MichuziHafla ya kumuaga Askofu wa jimbo la katoliki Dodoma,Mhashamu Baba Askofu Gervas John Nyaisonga yafana sana
Mgeni rasmi katika sherehe hiyo ambayo alikuwepo Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pina,alikuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki hapa nchini,Mwadhama Polcarp Kardinal Pengo. Pia sherere hiyo ilihudhuriwa na Askofu...
11 years ago
GPLHAFLA YA KUMUAGA ASKOFU WA JIMBO LA KATOLIKI DODOMA,MHASHAMU BABA ASKOFU GERVAS JOHN NYAISONGA YAFANA SANA
10 years ago
Michuzi
Askofu Dk. Charles Gadi atawazwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Habari Njema kwa Wote Tanzania, atunukiwa shahada mbili za udaktari Bagamoyo



Askofu Gadi akisimikwa na Maaskofu mbalimbali kutoka nje na nchini Jumapili

10 years ago
Raia Tanzania10 Aug
Padre Katoliki amtaka Lowassa
PAROKO wa Parokia ya Kabanga mkoani Kigoma, Padre Baptiste Mapunda, amempigia debe mgombea anayemtaka kuwa Rais wa Tano wa Tanzania, akimtaja kuwa ni mtu anayeonekana mbaya machoni mwa watu.
Akihubiri katika ibasa maalumu ya kuadhimisha miaka 25 ya upadre wake katika Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu, Manzese jijini Dar es Salaam jana, Padre Mapunda, bila kutaja jina la mwanasiasa huyo, alisema mtu anayeonekana mchafu anaweza kubadilika na kuleta mabadiliko nchini.
“Tanzania si nchi...
11 years ago
Habarileo09 May
Mbunge amtaka Waziri ajiuzulu
MBUNGE wa Konde, Khatibu Said Haji (CUF), amemtaka Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utawala Bora, George Mkuchika kujiuzulu kwa kushindwa kuisimamia Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), kukamata mafisadi wakubwa.
10 years ago
Tanzania Daima07 Nov
Kangi amtaka Chiza kujiuzuru
MBUNGE wa Mwibara Kangi Lugola (CCM) amemtaka Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika mhandisi Christopher Chiza kujiuzuru kwa madai kuwa ni mzigo kutokana na kushindwa kusimamia Wizara hiyo. Alisema kuwa...