ASKOFU AWATAKA WATANZANIA WAJITOKEZE KUJIANDIKISHA
Na woinde shizza ,ArushaAskofu Mkuu wa Kanisa la International Evangelism Church Eliud Isanja amewataka Watanzania wajitokeze kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura ili kutimiza haki yao ya kikatiba na kuchagua viongozi bora watakaoleta maendeleo ya taifa.
Isanja aliwaasa Watanzania kutozembea nafasi hiyo muhimu na badala yake waitumie fursa hiyo itakayoleta mabadiliko yanayotarajiwa na wengi.
Akizungumza katika mahafali ya Wahitimu wa Diploma ya masomo ya Biblia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo04 Apr
Chadema chahamasisha wananchi wajitokeze kujiandikisha
Akizindua operesheni hiyo katika viwanja vya Nyampande wilayani Sengerema juzi, katibu wa Chadema Kanda ya Ziwa, Robert Bujiku, alisema watazunguka mikoa yote ya kanda hiyo kuhamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari hilo pale...
10 years ago
MichuziBENKI YA MKOMBOZI YATANGAZA MAUZO YA AWALI YA HISA ZAKE,YAWAOMBA WATANZANIA WAJITOKEZE KUZINUNUA
10 years ago
Habarileo20 Apr
Askofu Ruwa’ich aagiza waumini kujiandikisha kupiga kura
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, Jude Thadei Ruwa’ich amewasisitiza wananchi kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la kupiga kura litakapofika mkoani hapa ili waweze kupiga kura na kuchagua kiongozi wanayemtaka wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu.
10 years ago
VijimamboNAPE AWATAKA VIJANA KUJIANDIKISHA KWA WINGI KWENYE DAFTARI
10 years ago
Dewji Blog23 Feb
Chatanda awataka Vijana Singida kujitokeza kujiandikisha daftari la wapiga kura
Mkuu wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi, akitoa nasaha zake kwenye hafla iliyofana ya CCM kata ya Mughanga kusherehekea ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika desemba mwaka jana. CCM kata ya Mitunduruini imezoa nafasi zote zilizokuwa zikigombewa.Wa kwanza kulia ni diwani viti maalum,Anita Awadh na kushoto (wa pili kushoto ni katibu CCM mkoa wa Singida,Mary Chatanda na wa kwanza kushoto ni mwenyekiti CCM kata ya Mughanga.
Na Nathaniel Limu, Singida
VIONGOZI wa...
11 years ago
Habarileo12 Jul
Watanzania wahimizwa kujiandikisha daftari la wapigakura
WATANZANIA wametakiwa kudumisha amani na utulivu na kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura pindi Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) itakapoanza kuboresha daftari hilo.
10 years ago
Habarileo08 Jul
Kikwete ahimiza Watanzania kujiandikisha BVR
RAIS Jakaya Kikwete amewataka Watanzania kujiandikisha, vinginevyo wasije kushangaa watakapochaguliwa viongozi wasiofaa.
10 years ago
Michuzi28 Apr
MBUNGE NATSE AWATAKA WANANCHI WA KARATU KUJITOKEZA KWA WINGI KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Mbunge wa jimbo la Karatu mkoani Arusha mchungaji Israel Natse wa chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA) ambaye pia Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini akihutubia wananchi wake katika mkutano wa hadhara uliofanyika uwanja wa mazingira bora karatu mjini jana,amewataka wananchi wa jimbo hilo kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura ambayo itawapa fursa ya kuwachagua viongozi wanaowataka katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika ockoba mwaka huu. (Habari...
10 years ago
Dewji Blog03 Feb
Jerry Silaa awataka wakazi wa Lindi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura
Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jerry Silaa.
Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi
Wakazi wa mkoa wa Lindi wametakiwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura ili waweze kushiriki kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu.
Rai hiyo imetolewa na Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jerry Silaa wakati akiongea kwenye kilele cha sherehe za kutimiza miaka 38 ya chama hicho...