Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askofu Shoo: Viporo escrow vinaumiza tumbo

Askofu mpya wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Fredrick Shoo jana alitoa ujumbe mzito kwa Rais Jakaya Kikwete alipomtaka kuwawajibisha haraka wahusika kwenye kashfa ya escrow kwa kuwa “viporo vinaumiza tumbo”.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Askofu Shoo awa mkuu mpya KKKT

Askofu Dk Fredrick Shoo amechaguliwa kuwa Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT), akichukua nafasi ya Dk Alex Malasusa aliyemaliza kipindi chake cha miaka minane.

 

9 years ago

Mwananchi

Askofu Shoo: Tunatarajia baraza lenye sura mpya

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Frederick Shoo amesema Watanzania wanatarajia kuona sura mpya katika baraza la mawaziri lijalo.

 

10 years ago

Mtanzania

Askofu asimulia mgawo wa Escrow

Nzigilwa-bishopNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM

HATIMAYE Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Eusebius Nzigilwa, amevunja ukimya na kusimulia namna alivyopokea Sh milioni 40.4 kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya VIP Engireering & Marketing Ltd, James Rugemalila.
Fedha hizo, ni sehemu ya kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 katika Akaunti ya Tegeta Escrow.
Askofu Nzigilwa ni mmoja wa watu waliotajwa na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), mwaka jana kuwa alipokea...

 

10 years ago

Vijimambo

Askofu aeleza alivyoingiziwa mamilioni ya Escrow

Ziliwekwa akaunti binafsi, adai ni za kanisaAskofu Nzigilwa.
Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Eusebius Nzigilwa, amevunja ukimya kuhusu mgao wa Sh. milioni 40 alioupata kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya VIP Engineering & Marketing Limited, James Rugemalira.

Ukimya wa Askofu Nzigilwa unatokana na sakata la uchotwaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 kutoka akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Akaunti hiyo ilifunguliwa baada ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge limalize viporo vyake

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limekuwa na viporo vingi ambavyo havijatolewa uamuzi na kiti cha spika kwa mujibu wa kanuni za kudumu za Bunge. Kwa mujibu wa kanuni...

 

10 years ago

GPL

WEMA: SIMLISHI DIAMOND VIPORO

MAHABATi! Beautiful Onyinye wa Bongo, Wema Sepetu ‘Madam’ amedhihirisha kuwa yeye ni mwanamke tayari wa kuwekwa ndani baada ya kusema anajitahidi kila siku katika suala la mapishi ili asimlishe viporo mwandani wake, Nasibu Abdul, ‘Diamond’. Beautiful Onyinye wa Bongo, Wema Sepetu ‘Madam’ akiwa na mwandani wake 'Diamond Platinumz'. Akipiga domo na paparazi wetu, Wema alisema kama mwanamke...

 

9 years ago

Habarileo

NEC yatangaza tarehe za uchaguzi ‘viporo’

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza tarehe za uchaguzi wa ubunge na baadhi ya kata nchini ambazo hazikufanya uchaguzi Oktoba 25, mwaka huu, huku Jimbo la Lulindi wilayani Masasi mkoani Mtwara, likitarajiwa kumchagua mbunge wake, Jumapili wiki hii.

 

11 years ago

Michuzi

VIPORO VILIVYOBAKI VIFANYIWE KAZI-TANZANIA

 .Kiongozi wa Ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  katika Mkutano wa 47 wa  Tume ya Idadi ya Watu na Maendeleo, Bw. Charles Pallangyo, Katibu Mkuu, Wizara ya  Afya na Ustawi wa Jamii,  akizungumza wakati wa  majadiliano ya jumla kuhusu mada kuu ya mkutano huu wa siku  tano kuhusu tathmini ya  utekelezaji wa  Mapango wa Utekelezaji wa Mkutano wa Kimataifa  juu ya Idadi ya Watu na Maendeleo (ICPD) uliofanyika mwaka 1994 huko Cairo, Misri. Wanaooneka nyuma ni   Bw. Noel Kaganda, Afisa...

 

5 years ago

Michuzi

ASKOFU MSAIDIZI EUSEBIUS NZIGILWA ATEULIWA KUWA ASKOFU MPYA JIMBO KATOLIKI LA MPANDA

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Francisco amemteua Askofu Msaidizi Eusebius Nzigilwa kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Mpanda.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani