Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ataka Mkurabita ilete maendeleo

WAKUU wa Wilaya, Wakurugenzi na Wenyeviti wa Halmashauri ambazo zimenufaika na Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (Mkurabita), wametakiwa kuitumia fursa hiyo kuwapatia wananchi wao maendeleo kwa kutumia rasilimali ardhi katika kukuza uchumi wa taifa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Dk Shein ataka maendeleo Z’bar

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein, amewahimiza wananchi kujitolea katika kujiletea maendeleo huku akiwahakikishia kuwa Serikali itaendelea kuziunga mkono jitihada hizo kwa manufaa yao na Taifa.

 

9 years ago

StarTV

Muinjilisti Dk. Falk ataka wakazi Morogoro kuwajibika ili kujiletea maendeleo

 

Wakazi wa Kihonda Manispaa ya Morogoro wametakiwa kufanya kazi kwa bidii katika kujiletea maendeleo kwa kutumia njia zinazompendeza mwenyezi Mungu na kuepuka njia za mkato ambazo zinaweza kuwaingiza kwenye matatizo na kuhatarisha maisha yao.

Akihutubia katika mkutano wa injili kwa wakazi hao, Mwinjilisti wa Kimataifa kutoka Arusha Dokta Egon Falk amesema maendeleo hayaletwi kwa maombi pekee bali yanaletwa na kila mmoja katika jamii kufanya kazi kwa bidii itakayomuingizia kipato...

 

11 years ago

Dewji Blog

MO ataka madhebebu dini kushirikiana na serikali ili kuleta maendeleo endelevu

DSC_0575

Mbunge wa jimbo la Singida Mjini, Mh. Mohammed Dewji (MO), akizungumza na waumini wa Msikiti wa kijiji cha Mtamaa wakati wa ziara yake ya siku tatu jimbo kwake.

Na Nathaniel Limu, Singida

MBUNGE wa Jimbo la Singida mjini, Mohammed Gulam Dewji amewahimiza waumini wa madhahebu mbalimbali ya dini kuendelea kushirikiana na serikali ili kurahisisha upatikanaji wa maendeleo endelevu.

Mbunge Dewji maarufu kwa jina la MO,ametoa wito huo hivi karibuni kwa nyakati tofauti wakati akikagua ujenzi wa...

 

11 years ago

GPL

MO ATAKA MADHEBEBU YA DINI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI ILI KULETA MAENDELEO ENDELEVU‏

Mbunge wa jimbo la Singida Mjini, Mh. Mohammed Dewji (MO), akizungumza na waumini wa Msikiti wa kijiji cha Mtamaa wakati wa ziara yake ya siku tatu jimbo kwake. Mbunge MO akijumuika na waumini wa Kanisa la FPCT kutoa burudani wakati wa ziara ya MO. Na Nathaniel Limu, Singida MBUNGE wa Jimbo la Singida mjini, Mohammed Gulam Dewji amewahimiza… ...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA AWASILI WILAYA YA KYERWA, ATAKA MIRADI YA MAENDELEO ISIMAMIWE NA HALMASHAURI SIYO SERIKALI.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitembelea shamba la ndizi na kahawa la  mkulima wa Kahawa na Ndizi Ndugu Eustace Kubalienda Kishunji katika kijiji cha Mabila,wilayani Kyerwa mkoani KageraKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa mkulima wa Kahawa na Ndizi Ndugu Eustace Kubalienda Kishunji ambaye ni mmiliki wa shamba la Ndizi,, Amesema shamba hilo  lina  miche 345 ambayo huvuna magunia 25 na ana shamba la migomba ambalo humpatia mavuno ya  mikungu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Safu mpya CHADEMA ilete mageuzi

MACHO na masikio ya wanaoitakia mema nchi hii, wanautegemea uongozi mpya wa Chama cha Demokrasia na Maeneleo (CHADEMA) toka msingi, wilaya, mkoa na taifa, kukomeshe fedha za walalahoi zinazotafunwa na...

 

11 years ago

Mwananchi

Krismasi ilete amani, iongeze matumaini

Leo ni sikukuu ya Krismasi, siku maalumu ambayo waumini wa Kikristo nchini wanaungana na wenzao kote duniani katika kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo, miaka zaidi ya 2000 iliyopita. Tunachukua nafasi hii kuwatakia wote sikukuu njema tukitambua ukubwa wake kiimani.

 

10 years ago

Mwananchi

Tuipe mtazamo mpya michezo ilete tija

Mara nyingi tumeambiwa kuwa michezo ni burudani, furaha pia ni sekta inayoweza kutoa ajira kwa vijana au watu wengine wanaojihusisha nayo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani