Athari za urani; nani mkweli?
Wakati kampuni ya Mantra Resources Tanzania Limited (MTRL) ikiwa katika hatua za mwisho za ukamilishaji wa uchimbaji wa urani katika mradi wake wa Mkuju huko wilayani Namtumbo wadau wa madini na mazingira wameiasa serikali kutoruhusu uchimbaji mpaka pale itakapotoa elimu ya kutosha kwa wananchi dhidi ya madhara ya uchimbaji huo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima20 Jul
Dk. Mkweli: Ugonjwa wa figo unatibika
MABADILIKO ya tabia nchi na kukithiri kwa matumizi ya vyakula vinavyozalishwa kwenye viwanda mbalimbali ndani na nje ya nchi, kumechangia kwa kiasi kikubwa kuibuka kwa magonjwa mbalimbali ya binadamu na...
11 years ago
Mwananchi15 Jan
Lembeli ataka Watanzania waamue mkweli
11 years ago
Mwananchi21 Dec
Mengi asema Profesa Muhongo siyo mkweli
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Nassari, Msigwa wamtuhumu Sitta kwa kutokuwa mkweli
10 years ago
Tanzania Daima05 Nov
Kama Warioba si mkweli, kwa nini afanyiwe fujo?
KAMA anachosema Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, si kweli, kwa nini wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamfanyie fujo na kumpiga, wakati wao walipojadili...
10 years ago
Bongo Movies20 May
Zamaradi Mtetema: Ukitaka Kuchukiwa Duniani we Kuwa Mkweli Tu…
Ukitaka kuchukiwa Duniani we KUWA MKWELI TU!!! kuwa mkweli kwa rafiki zako, kuwa mkweli kwa ndugu zako kuwa mkweli kwa wanaokuzunguka kuwa mkweli kwa jamii... mtu akikukosea mwambie kiroho safi, kitu kikikuuma ongea, kama kitu hujapenda ongea.. unaona shogaako akichemsha kitu mchane na kumuelekeza.. nk utachukiwa mpaka basi na utapewa maneno kama kimbelembele, mjuaji, mi sikipendi, ye ananjifanya hakosei... n.k
Na ukitaka kupendwa na kila mtu Duniani na wengi wawe wako we SNITCH TU.. njia...
11 years ago
Habarileo02 Mar
Wanasiasa waonywa kuhusu urani
WANASIASA wametakiwa kuzingatia utafiti na ushauri wa kitaalamu, kabla ya kuruhusu kuanzishwa kwa migodi ya uchimbaji wa madini ya urani, yaliyogundulika katika maeneo mbalimbali nchini.
11 years ago
Tanzania Daima30 May
‘Serikali ieleze madhara ya Urani’
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimeitaka serikali kutoa elimu zaidi kuhusu madhara kwa afya na mazingira yatokanayo na uchimbaji wa madini ya Urani badala ya kuelekeza nguvu...