Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aua mumewe wakigombea unyumba

POLISI mkoani Simiyu, inamtafuta Halima Bundala (28), kwa tuhuma za kumchoma kisu cha ubavu wa kushoto mume wake, Godfrey Daniel (21) katika ugomvi wa unyumba na kusababisha kifo chake papo hapo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Mwanafunzi aua mwenzake darasani wakigombea daftari

Na Kadama Malunde, Shinyanga

MWANAFUNZI wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Ilola, Wilaya ya Shinyanga Vijijini, Mkoa wa Shinyanga, Veronica Venance (12), amefariki dunia baada ya kupigwa na mwanafunzi mwenzake wakati wakigombea daftari darasani.
Tukio hilo limetokea juzi mchana wakati wanafunzi hao wakiwa darasani wakiendelea na masomo.
Akizungumza na MTANZANIA jana kuhusu tukio hilo, Ofisa Mtendaji wa Kata ya Ilola, Mahona Joseph, alidai lilitokea wakati Veronoca alipong’ang’ania...

 

10 years ago

Vijimambo

NDOA NDOANO:MKE AMWAGIA MUMEWE MAJI YA MOTO BAADA YA KUULIZWA NA MUMEWE KWANINI AMECHELEWA KURUDI NYUMBANI!!

Mwanamke mmoja katika wilaya ya Bunda, mkoani Mara, amemfanyia ukatili mume wake kwa kumwagia maji ya moto yaliyokuwa yametengwa kwa ajili ya kupikia ugali.Kwa mujibu wa jeshi la polisi wilayani hapa, tukio hilo lilitokea juzi, saa 4:30 usiku, katika mtaa wa Nyamakokoto, mjini Bunda, baada ya kuzuka ugomvi ulitokana na mwanamke huyo (jina linahifadhiwa) kuchelewa kurudi nyumbani.Mwanaume huyo amejeruhiwa vibaya mume wake sehemu mbalimbali za mwili wake, hali iliyopelekea kulazwa katika...

 

11 years ago

Mwananchi

Amuua mwenzake wakigombea sigara

Uvutaji wa sigara umeleta maafa, baada ya mtu mmoja kukatwa mkono na kuuawa na mwenzake wakati wakigombea sigara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Wasipowalipia CHF wanyimeni unyumba’

MKUU wa Wilaya ya Igunga, Elibariki Kingu, amewataka wanawake walioolewa wilayani humo kuwagomea waume zao endapo watakataa kulipa fedha za kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF). Alisema mafanikio...

 

11 years ago

Habarileo

Amuua mwenzake wakigombea 10,000/-

MKAZI wa Kijiji cha Nyangoto Nyamongo Tarafa ya Ingwe Tarime mkoani Mara, Mwita Samson (23) ameuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali na Munyaru Waigama katika ugomvi wa kugombea Sh 10,000.

 

11 years ago

Mwananchi

Amchinja mke baada ya kunyimwa unyumba

Mkazi wa mmoja wa Nzega, mkoani Tabora, Juma Kiyabo (45) amemchija mke wake, Wande Monera (34), kabla ya mwenyewe kunusurika kifo baada ya kujijeruhi vibaya shingoni katika jaribio la kutaka kujiua.

 

11 years ago

Habarileo

Achinja mke kwa kunyimwa unyumba

MTU mmoja mkazi wa wilayani Nzega mkoani Tabora, Juma Kiyabo (45) amempiga kisha kumchinja shingo mkewe, Wande Monera (34) na yeye kujaribu kujiua kwa kujikata koromeo lake.

 

11 years ago

GPL

AHARIBU MALI ZA HAWARA BAADA YA KUNYIMWA UNYUMBA

Stori: Makongoro Oging’
MAKUBWA! RB nambari TBT/RB/3478/2014  ya Kituo cha Polisi Tabata, jijini Dar es Salaam ina kesi ya dereva taksi aliyepatikana kwa jina moja la Lindoya akidaiwa kuharibu mali za Asia Hakika kwa sababu eti alinyimwa unyumba, Uwazi linakuhabarisha. Asia Hakika anayedai kuharibiwa mali zake na dereva taksi aitwaye Lindoya.
Mlalamikaji Asia, mkazi wa Tabata – Chama na mtuhumiwa Lindoya...

 

9 years ago

Michuzi

MWANAHABARI AMUUA POLISI KWA KISU WAKIGOMBEA MWANAFUNZI

 ASKALI Polisi wa mjini Babati, Mkoa wa Manyara ameuawa kwa kuchomwa kisu na mtangazaji mmoja wa redio kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.
Baadhi ya wakazi wa Babati walisema jana kuwa wanaume hao walikuwa wakimgombea mwanafunzi wa kidato cha pili walipokuwa baa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, Christopher Fuime alimtaja aliyeuawa kuwa ni Rashid Haruna (30) mwenyeji wa Mkoa wa Njombe.Kamanda Fuime alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 5.30 usiku eneo la Kitalu X.
Alisema Polisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani