AHARIBU MALI ZA HAWARA BAADA YA KUNYIMWA UNYUMBA

Stori: Makongoro Oging’ MAKUBWA! RB nambari TBT/RB/3478/2014 ya Kituo cha Polisi Tabata, jijini Dar es Salaam ina kesi ya dereva taksi aliyepatikana kwa jina moja la Lindoya akidaiwa kuharibu mali za Asia Hakika kwa sababu eti alinyimwa unyumba, Uwazi linakuhabarisha. Asia Hakika anayedai kuharibiwa mali zake na dereva taksi aitwaye Lindoya. Mlalamikaji Asia, mkazi wa Tabata – Chama na mtuhumiwa Lindoya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi18 Feb
Amchinja mke baada ya kunyimwa unyumba
11 years ago
Habarileo18 Feb
Achinja mke kwa kunyimwa unyumba
MTU mmoja mkazi wa wilayani Nzega mkoani Tabora, Juma Kiyabo (45) amempiga kisha kumchinja shingo mkewe, Wande Monera (34) na yeye kujaribu kujiua kwa kujikata koromeo lake.
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
GPL
MALI ZA BILIONEA ZAZUA TAFRANI BAADA YA KUFARIKI DUNIA
10 years ago
GPL
TYGA AHARIBU ‘BETHIDEI’ YA BLAC CHYNA
10 years ago
GPL
KIBAKA ACHOMWA MOTO AKIIBA MALI ZA ABIRIA BAADA YA AJALI KAHAMA
9 years ago
Bongo521 Nov
27 wauawa baada ya watu 170 kushikiliwa mateka kwenye hoteli nchini Mali

Takriban watu 27 wameuawa Jumamosi hii baada ya watu 170 kushikiliwa mateka kwenye hoteli ya Radisson Blu ya nchini Mali.
Shambulio hilo limefanywa na watu watatu kwenye mji mkuu Bamako, ambapo watu hao wakiwa na silaha waliivamia hoteli hiyo. Wawili kati yao wameuawa kwenye tukio hilo.
Mbunge wa Ubelgiji, Geoffrey Dieudonné, ni miongoni mwa waliouawa.
Dieudonné alikuwa akitoa mafunzo kwa maafisa wa bunge la Mali. Rais Ibrahim Boubacar Keita ametangaza siku tatu za maombolezo.
Kundi la...
10 years ago
Dewji Blog04 May
Katibu Mkuu wa UVCCM Sixtus Mapunda aharibu mipango ya wapinzani mkoani Iringa
Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa, Sixtus Mapunda akiwapa maneno ya kishujaa wakazi wa mkoa wa Iringa.
Juliana Shonza akiwahutubia wananchi wa mkoa wa Iringa.
Viongozi Chama cha Mapinduzi wakiwa katika meza wakifuatia mkutano unavyoendelea.
Na Fredy Mgunda, Iringa
Katibu mkuu wa UVCCM Taifa afanya ziara ya jimbo la Kilolo kwa lengo la kukijenga chama na kuangalia maendeleo ya chama hicho hasa ngazi vijana lakini akiwa katika ziara hiyo aliongozana na mwenyeji wake Katibu wa UVCCM mkoa wa...