Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Australia yatinga fainali za Raga dunia

Timu ya taifa ya Australia ya mchezo wa raga imetinga hatua ya fainali ya michuano ya kombe la dunia

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Owens kusimamia fainali Kombe la Dunia la Raga

Nigel Owens ndiye atakayekuwa mwamuzi kwenye fainali ya Kombe la Dunia la Raga itakayochezwa Jumamosi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Klabu bigwa-dunia Madrid yatinga fainali

Wakicheza katika dimba la Stade de Marrakech.Mabingwa wa Ulaya Real Madrid wamepata ushindi mnono wa goli 4-0 dhidi ya Cruz Azul

 

11 years ago

Michuzi

JUST IN: TIMU YA WATOTO WA MITAANI YATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA NCHINI BRAZIL

Timu ya Taifa ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania imetinga fainali za mashindano ya Kombe la Dunia la Watoto wa Mitaani baada ya kuichapa Marekani mabao 6-1 katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali uliochezwa jana (Aprili 5 mwaka huu) jijini Rio de Janeiro, Brazil.
Hadi mapumziko Tanzania ilikuwa mbele kwa mabao 4-0. Bao pekee la Marekani katika mchezo huo ambayo hadi nusu fainali ilikuwa haijafungwa lilifungwa dakika za mwisho.
Kwa matokeo hayo, Tanzania inacheza nusu fainali na Burundi....

 

10 years ago

BBCSwahili

Mchezaji wa raga afariki Australia

Mchezaji wa raga nchini Australia,aliyepata majeraha katika mchuano wa kombe la Queensland nchini humo, amefariki hospitalini.

 

9 years ago

BBCSwahili

New Zealand yatinga fainali

Timu ya taifa ya mchezo wa raga ya New Zealand wamefanikiwa kutinga fainali ya michuano ya dunia

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal yatinga fainali ya FA

Makosa ya kipa Adam Federic yalipaatia Arsenal ushindi huku mechi hiyo ikikamilika 2-1 kupitia mabao yaliofungwa na Alexi Sanchez.

 

10 years ago

BBCSwahili

Barcelona yatinga fainali

Miamba ya soka ya Hispania Barcelona, wamefanikiwa kutinga fainali baada ya kuibwaga Bayern Munich kwa jumla ya mabao 5-3 .

 

10 years ago

BBCSwahili

Ghana yatinga nusu Fainali

Ghana imekua timu ya tatu kutinga nusu fainali ya kombe la mataifa ya Afrika ,baada ya kuibanjua Guinea kwa mabao 3-0.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani