Barcelona yatinga fainali
Miamba ya soka ya Hispania Barcelona, wamefanikiwa kutinga fainali baada ya kuibwaga Bayern Munich kwa jumla ya mabao 5-3 .
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
BARCELONA YATINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA
Neymar, Luis Suarez na Lionel Messi wakishangilia bao. BARCELONA imefanikiwa kufuzu hatua ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya licha ya kufungwa mabao 3-2 na Bayern Munich usiku huu jijini Munich nchini Ujerumani. Thomas Muller akiifungia Bayern bao la tatu usiku huu. Barcelona imefuzu kwa jumla ya mabao 5-3 baada ya kupata ushindi wa 3-0 katika mechi yao ya kwanza ya nusu fainali dhidi ya Bayern huko Hispania.… ...
10 years ago
Vijimambo
FC BARCELONA YATINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA KWA JUMLA YA MABAO 5-3


Wakicheza katika uwanja wao wa nyumbani wa Allianz Arena uliofurika mashabiki wenye pumzi ya kushangilia bila kuchoka, Bayern waliokuwa na kibarua cha kuifunga Barcelona mabao 4-0 ili wasonge mbele hatua ya fainali, walijikuta wakimaliza dakika 90 za mchezo huo wakiwa na ushindi...
10 years ago
BBCSwahili25 Oct
New Zealand yatinga fainali
Timu ya taifa ya mchezo wa raga ya New Zealand wamefanikiwa kutinga fainali ya michuano ya dunia
10 years ago
BBCSwahili19 Apr
Arsenal yatinga fainali ya FA
Makosa ya kipa Adam Federic yalipaatia Arsenal ushindi huku mechi hiyo ikikamilika 2-1 kupitia mabao yaliofungwa na Alexi Sanchez.
10 years ago
BBCSwahili16 Feb
Arsenal yatinga robo fainali FA
Arsenal imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali na kukomesha safari ya Middlesbrough kwa kuifunga 2-0.
10 years ago
BBCSwahili02 Feb
Ghana yatinga nusu Fainali
Ghana imekua timu ya tatu kutinga nusu fainali ya kombe la mataifa ya Afrika ,baada ya kuibanjua Guinea kwa mabao 3-0.
11 years ago
BBCSwahili12 Sep
Marekani yatinga fainali kikapu
Marekani imetinga fainali kombe la dunia mpira wa kikapu kwa kuichapa Lithuania vikapu 96-68.
10 years ago
BBCSwahili29 Apr
Borussia Dortmund yatinga fainali
Borussia Dortmund imetinga Fainali ya Kombe la ujerumani (DFB-POKAL)baada ya kuwabwaga Mabingwa Watetezi Bayern Munich
11 years ago
Mwananchi30 Apr
Real Madrid yaua, yatinga fainali
>Real Madrid imeendeleza ubabe kwa Bayern Munich baada ya kuichapa mabao 4-0 katika mechi ya marudiano ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hivyo kutinga fainali kwa jumla ya mabao 5-0 kwa sababu katika mechi ya kwanza wiki moja iliyopita walishinda 1-0.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania