Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aveva ampa masharti mazito MO

DewjiNA MSHAMU NGOJWIKE

UONGOZI wa Simba upo tayari kumpa timu bilionea, Mohamed Dewji (MO), endapo wanachama watakubali kuuza hisa za klabu katika mkutano mkuu utakaofanyika Januari mwakani na kama atakubali kutoa thamani halisi ya klabu hiyo.

Hivi karibuni bilionea huyo alinukuliwa na vyombo vya habari akieleza nia yake ya kutaka kuimiliki klabu hiyo kwa kununua hisa za wanachama kwa asilimia 50 kwa kutoa ofa ya shilingi bilioni 20 za Kitanzania.

Akizungumza jijini jana, Rais wa Simba, Evans...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAFUFU AMPA MASHARTI MAGUMU MKEWE!

Msanii wa filamu za Bongo, Jimmy Mafufu akiwa na mkewe.
Na Brighton Masalu
SIKU chache baada ya kuripotiwa kutengana na mkewe, msanii wa filamu za Bongo, Jimmy Mafufu ameibuka na ‘kuachia silabi’ zinazoashiria kumpa masharti magumu mwandani wake huyo. Akizungumza kwa njia ya simu na mwandishi wetu juzi, Mafufu alisema kwa kuwa mkewe aliamua kuita waandishi wa habari wakati wa kuondoka hata wakati wa kurejea...

 

10 years ago

Mwananchi

Mgosi aipa masharti mazito Simba

Mshambuliaji mahiri wa Mtibwa Sugar, Musa Hassan ‘Mgosi’ ameitaka klabu yake ya zamani ya Simba kuvunja benki kama kweli ina nia ya dhati ya kupata saini yake kwenye kipindi hiki cha usajili.

 

10 years ago

GPL

Phiri ampa Kisiga majukumu mazito Simba

Kocha Mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri. Na Sweetbert Lukonge
KOCHA Mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri, amempa majukumu mazito kiungo wake, Shabani Kisiga kwa kumtaka kuhakikisha anasimamia suala la nidhamu katika kikosi hicho. Simba ipo kisiwani Unguja ambapo imeweka kambi ya kujiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuanza kutimua vumbi Septemba 20, mwaka huu na wao wataanzia Kaitaba dhidi ya Kagera Sugar....

 

9 years ago

Bongo Movies

Wastara Ampa Ampa Kichapo Bondi

KAZI ipo! Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma anadaiwa kumpa kichapo kikali aliyekuwa mwandani wake, Bond Suleiman baada ya kupatwa na kile kinachosemwa kuwa ni kupandisha majini.

Kwa mujibu wa chanzo chetu, kupandisha majini hayo kulitokana na jinsi ambavyo mwanaume huyo amekuwa akimtendea mpenziwe huyo, ambaye inadaiwa katika kupandisha huko, alitoa maelekezo ya namna anavyotakiwa kufanya.

“Nakuambia ilikuwa varangati siku hiyo, Wastara alipandisha majini akiwa na Bond, walikuwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Serikali zimeanza kulegeza masharti ya kukabiliana maambukizi, Je kulegeza masharti ni hatari kiasi gani?

Nchini Uingereza watu wameanza kurejelelea shughuli zao za kawaida, watu kukutana, baadhi ya watoto wanarejea shuleni, maeneo ya maonyesho ya magari yanafunguliwa, na masoko kufunguliwa tena.

 

11 years ago

GPL

Aveva kufuru

Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva akipokelewa na mashabiki wa timu ya Simba SC. Omary Mdose na Said Ally
KAZI imeanza babake! Wakati Yanga wakiwa bize na mazoezi baada ya ujio wa Kocha Marcio Maximo, upande wa pili Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva, naye ameanza kuonyesha makali kwa vitendo. Aveva ambaye amechukua madaraka hivi karibuni, ameanza kwa kulipa mishahara ya wachezaji wote wa timu hiyo na benchi la ufundi,...

 

11 years ago

TheCitizen

It’s Aveva vs Tupa for presidency

Evans Aveva, a key member of Friends of Simba, goes head to head with Andrew Tupa in the battle for the Msimbazi Street club’s presidency at Oysterbay Police Officers Mess today.

 

11 years ago

TheCitizen

Aveva: My vision for Simba SC

One of Simba Sports Club’s presidential candidates, Evans Aveva has said that he will turn the club into a winning outfit locally and internationally if elected.

 

11 years ago

Mwananchi

Ni Tupa au Aveva leo

Wanachama wa Simba leo watapata fursa ya kuchagua viongozi wao wapya katika Uchaguzi Mkuu wa klabu hiyo utakaofanyika kwenye Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi, Oysterbay jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani