Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Avuliwa nguo kuthibitisha jinsia yake

Genoveva Anonma mwenye kasi ya ajabu dimbani aliamriwa kuvua nguo zake zote ili kujiridhisha kuwa ni mwanamke.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

GENOVEVA ANONMA ALILAZIMISHWA KUVUA NGUO NA KUKAGULIWA JINSIA YAKE


Viongozi wa timu za Ghana , Nigeria na Afrika Kusini walidhani Genoveva Anonma ni mwanaume. Jitiririshe  chini akiwa uwanjani kwenye soma zaidi Genoveva Anonma alilazimishwa kuvua nguo na kukaguliwa jinsia yake .
Kashfa hii ilianzishw akwenye muichuano ya kombe la mataifa ya Afrika kwa kina mama ambapo viongozi wa Ghana , Nigeria na Afrika Kusini walizusha hoja kuwa wachezjai watatu wa Equatorial Guinea ni wanaume na si wanawake . Credit:MillardAyo.com

 

5 years ago

Bongo5

Hutaamini alichojibu Harmorapa kuhusu jinsia yake!

Rapa Harmorapa anaendelea kutawala mitandao ya kijamii kila kukicha kutokana na vituko vyake. Jumatano hii amewaacha mdomo wazi baadhi ya mashabiki wake baada ya kutoa jibu tofauti kuhusu jinsia yake.

Akichat na mashabiki katika mtandao wa facebook wa EATV ndani ya segment ya Kikaangoni, rapa huyo aliulizwa swali kuhusu jinsi yake ‘Wewe ni mwanaume wa aina gani?’ na rapa huyo kujibu ‘Mimi ni strong woman’.

Jibu hilo limewashangaza mashabiki wengi wa rapa huyo kwa kuwa wanajua yeye ni...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Mr Blue apata mtoto wa pili, jinsia yake ni?

Mr Blue na mke wake wamepata mtoto wa pili. Awamu hii familia hiyo imepata mtoto wa kike aitwaye, Khairriyaaa. Khairriya Herry Sameer “Alhamdulilahi mungu ni mwema sana sana, hatuna cha kumlipa zaidi ya kumuabudu kumtukuza na kumshukuru,” ameandika Blue kwenye Instagram. “Nakushukuru sana mungu wangu na nakushukuru pia mke wangu @wahyda_bysers_heart kwa kuniletea zawadi nyingine […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Amanda Awashukia Wanao Mponda Kuvaa Nguo Fupi, Asema Atakama Anuza Si Yake!!!

Mwigizaji wa filamu, Amamnda Poshi awatolea uvivu wanaomponda kwa kuvaa nguo fupi huko Instagram,nahaya ndio maneno yake;

“Instagrameee naipenda sanaaa..naipenda na watu wake nawapenda sanaaa coz ni sehem unayopangiwa uishi vipi,uvae vipi ,ulale wapi,uwe na bwana wa aina gani na ukikaa vibaya utapangiwa mpk chakula cha kutia tumboni tena kwa pesa yako...naomba ieleweke kila mtu anauhuru wake...kwangu me msinipangie mavazi wala jinsi ya kuishi,nikivaa nguo fupi ni me,niwe na miguu...

 

10 years ago

Michuzi

MISINGI YA USAWA WA JINSIA IKILINDWA KATIKA KATIBA MPYA, TUTAPATA KATIBA YENYE MRENGO WA JINSIA

Baadhi ya Wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba wakiimba kwa furaha wakati wa semina iliyofanyika 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Pius Msekwa mjini Dodoma. Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba (wa kwanza kulia) akipitia taarifa ya mapendekezo ya mtandao wa wanawake na Katiba Tanzania wakati wa semina iliyofanyika 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Pius Msekwa mjini Dodoma. Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Bi. Usu Mallya akitoa mada kuhusiana na suala la kijinsia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mikoa yahimizwa kuthibitisha riadha taifa

MIKOA inayotarajiwa kushiriki mashindano ya taifa ya riadha yanayotarajiwa kufanyika Julai 12-13 jijini Dar es Salaam, imetakiwa kuthibitisha ushiriki wao kabla ya Juni 15. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar...

 

9 years ago

Mwananchi

Wagombea urais wajivuta kuthibitisha ushiriki mdahalo

Kamati ya Maandalizi ya midahalo ya wagombea urais na wagombea wenza inayoratibiwa na Baraza la Habari Tanzania-MCT imetoa  muda hadi keshokutwa kwa vyama vyenye wagombea urais kuthibitisha ushiriki wao katika Midahalo waliouandaa.

 

11 years ago

Habarileo

Bosi TTB avuliwa madaraka

Dk Aloyce Nzuki MKURUGENZI Mtendaji wa Bodi ya Utalii (TTB), Dk Aloyce Nzuki amevuliwa madaraka kwa madai ya utendaji usioridhisha pamoja na kusababisha Tanzania kuwa nyuma katika masuala ya utalii.

 

10 years ago

Mtanzania

Mrema avuliwa uanachama TLP

mremaNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
KAMATI ya Ukweli na Maridhiano ya Chama cha Tanzania Labour (TLP), imetangaza kumvua uanachama Mwenyekiti wa chama hicho, Agustino Mrema.
Akizungumza jana, jijini Dar es Salaam na MTANZANIA Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Joram Kinanda alisema kuwa kamati hiyo imefikia uamuzi huo baada ya kupitia kwa kina malalamiko yaliyokuwa yakimuhusu Mrema, ambaye pia ni Mbunge wa Vunjo.
Mwenyekiti huyo alisema kuwa mbali na Mrema wengine waliovuliwa uanachama ni Hamisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani