Hutaamini alichojibu Harmorapa kuhusu jinsia yake!
Rapa Harmorapa anaendelea kutawala mitandao ya kijamii kila kukicha kutokana na vituko vyake. Jumatano hii amewaacha mdomo wazi baadhi ya mashabiki wake baada ya kutoa jibu tofauti kuhusu jinsia yake.
Akichat na mashabiki katika mtandao wa facebook wa EATV ndani ya segment ya Kikaangoni, rapa huyo aliulizwa swali kuhusu jinsi yake ‘Wewe ni mwanaume wa aina gani?’ na rapa huyo kujibu ‘Mimi ni strong woman’.
Jibu hilo limewashangaza mashabiki wengi wa rapa huyo kwa kuwa wanajua yeye ni...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo526 Dec
Ridhiwan aweka mambo hadharani, soma alichojibu kuhusiana na shutuma za ufisadi dhidi yake
![Riz](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Riz-300x194.jpg)
Soma kile alichoandika Ridhiwan Kikwete kujibu tuhuma mbalimbali za ufisadi zilizomwandama kwa miaka mingi.
Ndugu zangu waandishi wa habari, nimeamua kuwaita ili kuzungumza nanyi kuhusu baadhi ya mambo yaliyokuwa yanasemwa katika vyombo vya habari kuhusu mimi.
Awali ya yote napenda kusema kuwa habari hizo ni UONGO mtupu, ni mambo yanayozushwa na waandishi wa habari hizo kwa nia ya kuchafua jina langu kwa sababu wanazozijua wanaoandika. UKWELI ni kwamba haya ni mambo yenye kufanywa kwa nia...
9 years ago
Bongo502 Sep
Update: Octopizzo azungumza kwa mara ya kwanza kuhusu kudanganya kumshirikisha August Alsina, sikiliza alichojibu (Audio)
9 years ago
BBCSwahili12 Nov
Mjadala kuhusu usawa wa jinsia
10 years ago
BBCSwahili14 Jan
Avuliwa nguo kuthibitisha jinsia yake
10 years ago
BBCSwahili17 Jan
USA kuamua kuhusu ndoa za jinsia moja
10 years ago
BBCSwahili22 May
Ireland yaamua kuhusu ndoa za jinsia moja
9 years ago
Bongo503 Sep
Picha: Mr Blue apata mtoto wa pili, jinsia yake ni?
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/dO2wr1T_l4M/default.jpg)
GENOVEVA ANONMA ALILAZIMISHWA KUVUA NGUO NA KUKAGULIWA JINSIA YAKE
Viongozi wa timu za Ghana , Nigeria na Afrika Kusini walidhani Genoveva Anonma ni mwanaume. Jitiririshe chini akiwa uwanjani kwenye soma zaidi
![](http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/01/Anonma-Genoveva-7151.jpg?resize=1024%2C768)
Kashfa hii ilianzishw akwenye muichuano ya kombe la mataifa ya Afrika kwa kina mama ambapo viongozi wa Ghana , Nigeria na Afrika Kusini walizusha hoja kuwa wachezjai watatu wa Equatorial Guinea ni wanaume na si wanawake . Credit:MillardAyo.com
10 years ago
Michuzi05 Feb