Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bosi TTB avuliwa madaraka

Dk Aloyce Nzuki MKURUGENZI Mtendaji wa Bodi ya Utalii (TTB), Dk Aloyce Nzuki amevuliwa madaraka kwa madai ya utendaji usioridhisha pamoja na kusababisha Tanzania kuwa nyuma katika masuala ya utalii.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mkurugenzi Bodi ya Utalii nchini avuliwa madaraka

Serikali imemvua wadhifa Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii nchini (TTB), Dk Aloyce Nzuki kutokana na utendaji usioridhisha.

 

10 years ago

Mtanzania

Mrema avuliwa uanachama TLP

mremaNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
KAMATI ya Ukweli na Maridhiano ya Chama cha Tanzania Labour (TLP), imetangaza kumvua uanachama Mwenyekiti wa chama hicho, Agustino Mrema.
Akizungumza jana, jijini Dar es Salaam na MTANZANIA Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Joram Kinanda alisema kuwa kamati hiyo imefikia uamuzi huo baada ya kupitia kwa kina malalamiko yaliyokuwa yakimuhusu Mrema, ambaye pia ni Mbunge wa Vunjo.
Mwenyekiti huyo alisema kuwa mbali na Mrema wengine waliovuliwa uanachama ni Hamisi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Eto’o avuliwa majukumu ya ukocha

Nahodha wa zamani wa Cameroon Eto'o amepokonywa majukumu ya ukufunzi katika klabu ya Antalyaspor ya Uturuki.

 

10 years ago

BBCSwahili

Avuliwa nguo kuthibitisha jinsia yake

Genoveva Anonma mwenye kasi ya ajabu dimbani aliamriwa kuvua nguo zake zote ili kujiridhisha kuwa ni mwanamke.

 

10 years ago

GPL

ZITTO KABWE AVULIWA UANACHAMA CHADEMA

Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ametangaza kuvuliwa rasmi uanachama kwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Mhe. Zitto Kabwe baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kutupilia mbali pingamizi la mbunge huyo la kuzuia asijadiliwe. "Kwa mujibu wa katiba ya chama cha CHADEMA, mwanachama yoyote anapofungua kesi mahakamani dhidi ya chama chake, endapo atashindwa katika kesi hiyo...

 

10 years ago

Vijimambo

ZITTO AVULIWA RASMI UANACHAMA CHADEMA

Kwa mujibu wa katiba ya chama cha CHADEMA, mwanachama yoyote anapofungua kesi mahakamani dhidi ya chama chake, endapo atashindwa katika kesi hiyo atakuwa amejiondoa uanachama wake, kwahiyo natangaza rasmi rasmi Zitto Kabwe sio mwanachama tena wa CHADEMA. Mwanasheria mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu ametangaza kuvuliwa rasmi uanachama wa mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto baada ya mahakama kuu ya Tanzania kutupilia mbali shauri lake.
Katika maamuzi hayo ya Mahakama kuu ya Tanzania leo...

 

11 years ago

Mwananchi

Mjumbe Bunge la Katiba avuliwa uanachama Z,bar

Mjumbe wa Bunge la Katiba kupitia Chama cha Allience for Tanzania Farmers Party (AFP), Rashid Yussuf Mchenga amevuliwa uanachama kwa madai ya kughushi saini ya Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Shaibu Masoud Salum. Uamuzi huo ulitangazwa juzi na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Said Soud Said.

 

10 years ago

Mwananchi

Daktari aliyekutwa amelewa Geita avuliwa cheo

>Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Magreth Nakainga amemvua madaraka Mganga Mkuu wa Zahanati ya Nyakabale, Josephat Msafiri kwa kukiuka miiko ya kazi yake na kulewa wakati wa kazi.

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto Kabwe avuliwa rasmi uanachama chadema

Tundu Lisu atangaza kuvuliwa rasmi uanachama kwa Zitto Kabwe chadema

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani