Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AZAM FC WALIVYOKABIDHIWA KOMBE LAO

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) akimkabidhi Kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, nahodha wa Azam FC, John Bocco jana jioni baada ya kuifunga JKT Ruvu bao 1-0 katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar. Azam FC wakishangilia…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

YANGA SC WALIVYOKABIDHIWA KOMBE LA UBINGWA LIGI KUU BARA

Mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2014 - 2015, Yanga wakishangilia ubingwa wao huo mara baada ya kumalizika kwa mtanange wao dhidi ya Azam FC, uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam jana. Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' akimkabidhi cheti cha salamu za pongezi za ubingwa kutoka Fifa, Mwenyekiti wa timu hiyo… ...

 

10 years ago

GPL

CHELSEA WAKABIDHIWA KOMBE LAO LA LIGI KUU YA ENGLAND

Chelsea wakisherehekea ubingwa wa Ligi Kuu ya England kwa msimu wa 2014/15. CHELSEA wamekabidhiwa kombe lao baada ya mechi yao ya mwisho dhidi ya Sunderland leo iliyomalizika kwa wababe hao kuibuka kidedea kwa mabao 3-1. Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho. Mabao hayo yamewekwa kimiani na Loic Remy aliyetupia mawili huku lingine likifungwa na…

 

9 years ago

MillardAyo

Cheki Video ya magoli ya Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC, Mtibwa wakimbadilikia refa baada ya goli lao kulikataa

Mchezo wa pili wa Kundi B wa michuano ya Mapinduzi 2016 ulichezwa usiku wa January 3 kwa kuzikutanisha klabu za Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC. Huu ni mchezo ambao ulimalizika kwa sare ya goli 1-1, baada ya Azam FC kusawazisha goli, lakini pia kuna goli lilifungwa na Mtibwa Sugar lilikataliwa na muamuzi na kuleta […]

The post Cheki Video ya magoli ya Mtibwa Sugar dhidi ya Azam FC, Mtibwa wakimbadilikia refa baada ya goli lao kulikataa appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Habarileo

Azam FC yatamba kubakisha Kombe

AZAM FC leo ina kazi moja ya kuhakikisha Kombe la Kagame linabaki nchini itakapocheza fainali dhidi ya Gor Mahia ya Kenya kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mwananchi

Mabilioni ya Azam yabeba Kombe la FA

Kampuni ya Azam Media imedhamini mashindano ya Kombe la Chama cha Soka (FA) yanayosimamiwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)  kwa Sh3.3 bilioni, ambayo mwaka huu yatashirikisha timu 64.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Azam yatema kombe Mapinduzi

MABINGWA wa Kombe la Mapinduzi, Azam FC, jana walivuliwa taji baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-2 kutoka timu ya Halmashauri ya Jiji la Kampala Uganda (KCC), katika mechi ya...

 

9 years ago

Vijimambo

AZAM, TFF ZARUDISHA KOMBE LA SHIRIKISHO

Rais wa TFF Jamal Malinzi ( kushoto ) akiwa na Mkurugenzi wa Azam media Rhys ThorringtonShirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kwa udhamini wa kampuni ya Azam Media kupitia Azamtv Sports leo wamezindua kombe la Shirikisho litakalofahamika kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) ambalo litaanza kutimua vumbi mwezi Novemba mwaka huu kwa kushirikisha timu 64 nchini. 


Kurudishwa kwa michuano hii imekua ni faraja kwa wapenzi na wadau wa mpira miguu nchini baada ya kukosekana kwa takribani miaka...

 

11 years ago

GPL

AZAM YAONDOLEWA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

TIMU ya Azam FC imeondolewa katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kufungwa mabao 2-0 na Ferroviario de Beira ya Msumbuji. Kwa matokeo hayo, Azam imeondolewa kwa mabao 2-1 baada ya mechi ya kwanza iliyopigwa Chamazi, Dar kushinda bao 1-0 .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani