Azam: kila mechi Kwetu ni fainali
NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM
UONGOZI wa Azam FC umesema kwamba kuelekea kuwa mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kila mechi watakayocheza itakuwa kama fainali.
Klabu hiyo ipo nafasi ya pili kwenye ligi hiyo ikiwa na tofauti ya pointi moja nyuma ya klabu ya Yanga, ambayo ina pointi 30 baada ya kucheza michezo 12.
Akizungumza na MTANZANIA, Msemaji wa klabu hiyo, Jafari Iddi, alisema kwamba wapo katika maandalizi ya mechi yao dhidi ya Kagera Sugar Jumapili hii.
“Kwa sasa timu inajiandaa kuingia...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziKWETU HOUSE- WASHIRIKI 6 KUYAAGA MASHINDANO USIKU HUU USIKOSE KUANGALIA KWETU HOUSE AZAM TV (TWO) SAA TATU NA NUSU USIKU
9 years ago
GPL10 years ago
GPLAZAM TV YAZINDUA MSIMU WA PILI WA ‘KWETU HOUSE’
10 years ago
VijimamboMgope Kiwanga Meneja wa Mauzo na Masoko Azam Media Akiongelea Kwetu House
Mgope Kiwanga Meneja wa Mauzo na Masoko Azam Media Akitoa Wito Kwa Watu Wengi Kujitokeza Na Faida Watakazopata Baada Ya Kushiriki Shindano La Kwetu House 2015
10 years ago
BBCSwahili11 Sep
Mechi za kufuzu fainali za kombe Afrika
9 years ago
Raia Mwema16 Dec
Kila siku wanadai eti vijana hatuna uzalendo. Wao wana uzalendo kwetu?
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke, mipango miji, machinga, kero vijijini na waishiwa,
10 years ago
Michuzi