Azam yamshtaki Majwega Fifa
Uongozi wa klabu ya Azam umemshtaki kwenye Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) winga wake Brian Majwega kwa madai ya kujiunga na Simba akiwa bado na mkataba.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
TheCitizen25 Nov
Azam reports Majwega to Fifa for ‘absconding’
9 years ago
Mwananchi02 Dec
Azam, Simba ‘zauziana’ Majwega kiaina
9 years ago
TheCitizen01 Dec
Simba open talks with Azam over Majwega
9 years ago
Mtanzania11 Dec
Kiongera, Majwega ‘out’ Simba v Azam
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
TIMU ya Simba huenda ikashindwa kuwatumia nyota wake wapya iliyowasajili usajili wa dirisha dogo kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya Azam kesho, kutokana na kubanwa na taratibu za usajili nchini.
Baadhi ya wachezaji hao iliyowasajili ni mshambuliaji Paul Kiongera waliyemrudisha kwa mkopo akitokea KCB ya Kenya, winga Brian Majwega kutoka Azam FC, straika kinda Hijja Ugando.
Wengine ni beki Novatus Lufunga aliyetokea African...
10 years ago
Mwananchi15 Mar
‘Azam ndiyo pekee itapeta masharti ya CAF, Fifa’
9 years ago
Habarileo02 Dec
Majwega atua Simba
MCHEZAJI Brian Majwega raia wa Uganda sasa yupo huru kucheza Simba katika Ligi Kuu bara. Kwa takriban wiki mbili sasa kumekuwa na mgogoro kati ya Simba na Azam FC kuhusu mchezaji huyo aliyesajiliwa na Azam mwanzoni mwa mwaka huu.
9 years ago
Vijimambo20 Oct
Chadema: yamshtaki Kikwete UN.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/CDM-20Octboer.png)
Mwanasheria wa Chadema, John Mallya, aliwaeleza waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuwa barua hiyo waliituma UN jana.
Mallya alisema lengo la barua ni kumshtaki Rais Kikwete kwa mataifa mengine kutokana na kauli yake ya kuwatisha Watanzania aliyodai aliitoa Oktoba 14, mwaka huu ya kuwataka wapigakura kuondoka...
10 years ago
Mtanzania10 Sep
IPTL yamshtaki Zitto
![Zitto Kabwe](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Zitto-Kabwe.jpg)
Zitto Kabwe
NA MWANDISHI WETU
KAMPUNI ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na wadai wengine wawili, wamefungua kesi ya madai katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam dhidi ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema).
Pia IPTL imewafungulia kesi watu wengine wawili, huku wakitaka kulipwa fidia ya Sh. bilioni 500.
Mbali na IPTL, wengine waliofungua kesi hiyo Septemba 4, mwaka huu kupitia wakili Melchisedeck Lutema wa Asyla Attorneys na Kay Felician Mwesiga...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8KGb8vxx0YkijisTCADN9MNGzPuUlVmLnGZ-GL82yDRNLvtp7DT8vHo39ZSBUVG-3S1GQ9nmGqguQZ5cf63MfUYVnMq2RdoJ/tff.jpg?width=650)
TFF yamshtaki Logarusic