Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Azam yapiga tafu madola

Wanamichezo wanaokwenda kushiriki michuano ya Madola wamepata dola 93,000, sawa na Sh160 milioni kutoka Kampuni ya Said Salim Bakharessa iliyowakabidhi jana mbele ya Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Sahel Trading yapiga tafu mabondia Dar

KAMPUNI ya Sahel Trading Ltd ya jijini Dar es Salaam kupitia kwa Mkurugenzi Ally Hazam  imetoa mzani wa kupimia mabondia yenye kiwango cha juu kwa ajili ya kuondoa ubabaishaji wa...

 

10 years ago

Michuzi

GAPCO YAPIGA TAFU MAENDELEO YA MICHEZO YA RIADHA NCHINI

Mkurugenzi mkuu wa GAPCO Afrika Mashariki Macharia Irungu akimpongeza Simon Mlewa mshindi wa kwanza mbio za walemavu kwa upande wa wanaume wanaotumia tricycle.Mkuu wa wilaya ya  Moshi Novatus Makunga akimkabidhi zawadi Joseph Mungure mshidi wa kwanza mbio za walemavu kwa upande wa wanaume wanaotumia wheelchair. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa GAPCO Tanzania Vijay Nair, Meneja Masoko Caroline Kakwezi na Mkurugenzi Mkuu wa GAPCO Afrika Mashariki Macharia Irungu. Kulia ni Katibu Mkuu wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chai Bora yapiga tafu Kombe la Muungano Mufindi 2014

KAMPUNI ya Chai Bora na Benki ya Wananchi wa Mufindi (Mucoba), zimejitosa kudhamini mashindano ya Kombe la Muungano Mufindi 2004 yaliyoanza kutimua vumbi mwishoni mwa wiki. Kwa mujibu wa Mratibu...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL YAPIGA TAFU TIMU YA TAIFA YA VIJANA CHINI YA MIAKA 17

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Slaa (kushoto) akimuongoza mchezaji wa zamani wa Manchester United Andy Cole kwenda kuwafunda vijana wa timu ya Taifa chini ya miaka 17. Shughuli hiyo ilifanyika jana Dar es Salaam katika viwanja vya Karume mara baada ya mchezaji huyo kuzuru/kutembelea ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania. Wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Airtel Tanzania Bwana Sunil Colaso.… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Azam yaimwagia fedha timu ya Madola

KAMPUNI ya Azam jana ilitoa kiasi cha dola 93,000 za Marekani kwa timu ya taifa inayokwenda Glasgow, Scotland kushiriki mashindano ya Jumuiya ya Madola. Fedha hizo zilizokabidhiwa jana kwa Naibu...

 

10 years ago

Mwananchi

Azam yapiga ‘mkono’ Kagame

Kipre Tchetche aliibuka shujaa kwa kuifungia Azam mabao mawili katika ushindi mnono wa mabao 5-0 ilioupata dhidi ya Adama City ya Ethiopia na kuiwezesha kumaliza vizuri hatua ya makundi ya mashindano ya Kagame

 

11 years ago

Tanzania Daima

AFC yapigwa tafu vifaa

TIMU ya AFC ya Arusha imepokea msaada wa vifaa vya michezo zikiwemo jezi, mipira na viatu vyote vikiwa na thamani ya sh milioni 2.5 kutoka Kampuni ya Tanzanite Forever ikiwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Soka la vijana lapigwa ‘tafu’

Kampuni ya Symbion Power Tanzania itatumia Dola 3 milioni (Sh4.b bilioni) kwa ajili ya ujenzi wa vituo vyake viwili ya kuibua na kuendelea vipaji vya soka nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serengeti Boys yapigwa tafu

KAMPUNI ya Airtel Tanzania imeahidi kuendelea kuunga mkono juhudi za serikali katika kuendeleza michezo nchini ili kuleta ufanisi katika sekta hiyo. Akizungumza kabla ya kukabidhi mipira 100 kwa timu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani