Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BAADA YA SAKATA LA ESCROW: TIBAIJUKA ANASWA PEKUPEKU

Na Mwandishi Wetu/Amani
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi aliyeondolewa ofisini hivi karibuni kutokana na sakata la Tegeta Escrow, Anna Tibaijuka, hivi karibuni amenaswa akiwatembelea watu wanaosadikiwa kuwa wapiga kura wake jimboni Muleba mkoani Bukoba akiwa pekupeku. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof.Anna Tibaijuka akipekua jimboni Muleba mkoani Bukoba. Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali, vikiwemo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAAZIMIO MAPYA SAKATA LA ESCROW: MAMLAKA HUSIKA YASHAURIWA KUTENGUA UTEUZI WA PROF TIBAIJUKA, PROF MUHONGO, JAJI WEREMA NA MASWI

Waziri wa Madini na Nishati, Profesa Sospeter Muhongo. WABUNGE kwa pamoja wamekubaliana kuondoa maazimio 12 yaliyoletwa bungeni na Kamati ya PAC na kuleta maazimio mapya 8 ambayo yamekubaliwa. Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Jaji Frederick Werema. Mojawapo ya maazimio hayo ni Mamlaka ya uteuzi kutakiwa iwawajibishe na kushauriwa kutengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini Profesa Muhongo, Mwanasheria… ...

 

10 years ago

GPL

BUNGE LAAHIRISHWA BAADA YA WABUNGE KUPINGA BAADHI YA MAAZIMIO YA KUWALINDA WATUHUMIWA WA SAKATA LA ESCROW

MAAZIMIO
Pendekezo la kwanza la kumkamata na kumfilisi bwana Seth lina marekebisho ya serikali, naibu waziri wa Sheria anasema haiwezekani Pendekezo la pili kuhusu Rugemalira, serikali imeweka marekebisho kuhusu uhalali wa pesa za Rugemalira alizogawa Azimio la TATU limerekebishwa kuwa waliopokea pesa wachunguzwe na kuchukuliwa hatua mahususi kwa mujibu wa sheria Pendekezo la NNE. Kamati inazitaka mamlaka...

 

10 years ago

Michuzi

news alert: SPIKA ASITISHA BUNGE HADI WATAPOJADILIANA TENA BAADA YA SINTOFAHAMU WAKATI WA MJADALA MKALI WA SAKATA LA ESCROW


Sintofahamu iliyotokea kwenye kikao cha Bunge mjini Dodoma Ijumaa Novemba 28, 2014 imepelekea Spika Anne Makinda (pichani) kulazimika kusitisha shughuli za Bunge mpaka hapo watapojadiliana tena. 
Hii ni baada ya majadiliano makali kuhusu kuwajibishwa ama la kwa viongozi wanaohusika na sakata la akaunti ya Escrow. Hali hii iliibuka baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA na kambi ya upinzani Bungeni Mhe Freeman Mbowe kuinuka na kusema kuwa Bunge kufikisha saa tano kasoro ni historia, na kwamba kuna...

 

5 years ago

The Citizen Daily

Tibaijuka speaks out on escrow

Tibaijuka speaks out on escrow  The Citizen Daily

 

10 years ago

Mwananchi

Escrow yaendelea kumtesa Tibaijuka

Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Profesa Anna Tibaijuka amemshambulia Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee pamoja na baadhi ya vyombo vya habari kwamba vinatumiwa na wabaya wake kumkashifu katika utendaji wake.

 

10 years ago

BBCSwahili

Escrow:Tibaijuka asema ng'o hatajiuzulu

Professa Anne Tibaijuka amesema kuwa hayuko tayari kujiuzulu kutokana na kashfa ya ecsrow.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tibaijuka:''Nilipokea pesa za Escrow''

Profesa. Anne Tibaijuka asema alipokea pesa za Escrow kwa niaba ya shule ya wasichana-hazikumfaidi yeye binafsi

 

10 years ago

BBCSwahili

Sakata la Escrow

Kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow bado inafukuta nchini Tanzania.

 

10 years ago

Vijimambo

Mgawo Escrow wamchanganya Prof. Tibaijuka

Juhudi za Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka, kujisafisha dhidi ya kashfa ya kunufaika na mgao wa zaidi ya Sh. bilioni 300 zilizochotwa katika akaunti ya Tegeta Escrow, zimechukua sura mpya na sasa anaitumia shule ya wasichana ya Barbro Johansso, bodi yake, wanafunzi na wazazi kujinasua.

Prof. Tibaijuka ambaye aligawiwa Sh. bilioni 1.6 katika fedha hizo, tangu juzi ulianza mkakati wa kutoa matangazo katika magazeti na jana uliitishwa mkutano wa waandishi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani