Babu; kinyozi anayemiliki magari 75
Mfanyabiashara Leonard Willoughby aliwahi kusema; ‘siku utakayoanza kuishi kwa kuifuata mipango yako unayopanga, kila kitu katika maisha yako kitabadilika kabisa.’ Inawezekana watu wengi wanaufahamu msemo huo, lakini Ramesh Babu anajitapa kuyatendea kazi maneno hayo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili20 Jan
Unajivunia Kinyozi wako?
9 years ago
Vijimambo18 Sep
Polisi wamsaka 'Daudi Balali' anayemiliki ukurasa wa twitter
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Ad-18Sept2015.png)
Mkurugenzi wa Habari na Mahusiano wa Jeshi la Polisi, Advera Bulimba, aliyasema hayo wakati akizungumza na Nipashe ofisini kwake jana.
Bulimba alisema kuwa taarifa za uwapo wa ukurasa huo wa twitter, wamekwishazipata na wanafanya uchunguzi wa kina kumkamata mhusika kisha...
9 years ago
Mtanzania25 Aug
Mfanyabiashara kijana anayemiliki viwanda kwa kuuza korosho
NA HAMISA MAGANGA
VIJANA wengi wamekuwa wakikimbia kilimo vijijini wakidhani kuwa hakina faida yoyote.
Hawafahamu kuwa siku zote mwanzo ni mgumu kwani hata waliofanikiwa awali walikuwa maskini na hawakuwahi kufikiria kama watakuja kuwa matajiri wakubwa duniani.
Kilimo na biashara ni miongoni mwa vitu vilivyochangia utajiri wa watu wengi ndani na nje ya nchi. Hata siku moja huwezi kumiliki mabilioni ya fedha kwa kutegemea kuajiriwa.
Katika makala haya kutana na mfanyabiashara wa kwanza wa...
9 years ago
Mwananchi04 Oct
AMBWENE YESSAYA :Msanii anayemiliki kipindi cha Mkasi
10 years ago
Mwananchi21 Aug
Kinyozi anayeota kuwa kama Bakhresa
9 years ago
Global Publishers06 Jan
Siyo kinyozi tena, siku hizi ni saluni!
Hapo zamani za kale wakati wa enzi zetu, mkaka alikuwa akitaka kunyoa nywele anaenda kwa kinyozi na kinyozi alikuwa mwanaume. Mdada akitaka kunyoa nywele zake anamtafuta mdada mwenzie amnyoe nywele.
Vinyozi walikuwa wa aina kuu mbili walikuweko wale vinyozi ambao shughuli zao walizifanyia chini ya mti, na wengine ndiyo walikuwa wanakuwa na chumba ambacho nje utakuta kibao kimeandikwa kinyozi.
Kwa kinyozi ndiko kulikokuwa sehemu ya kupata habari mbalimbali za nini kinaendelea katika jamii....
11 years ago
Tanzania Daima18 Feb
KASSIM MOHAMED: Kinyozi anayepambana na saluni za kisasa
KUTOKANA na maendeleo ya sayansi na teknolojia, mambo mengi yamebadilika. Mojawapo ya mambo hayo ni kujiweka nadhifu, iwe kwa mwanamke au mwanamume kwa kutumia vipodozi vya kisasa. Zamani wanawake walikuwa...
11 years ago
Michuzi20 Jul
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-fWyZFEZucHg/U-sxP-7Rg2I/AAAAAAAF_IE/dQULh-NCqKI/s72-c/unnamed%2B(93).jpg)
Tamasha la Magari Tanzania (Autofest) limerudi na Matoleo Mapya ya Magari
![](http://2.bp.blogspot.com/-fWyZFEZucHg/U-sxP-7Rg2I/AAAAAAAF_IE/dQULh-NCqKI/s1600/unnamed%2B(93).jpg)