Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bajeti ya Elimu yakita kwenye utafiti

kilangoNa Mauli Muyenjwa, Dar es Salaam
NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Anne Kilango amesema bajeti ya wizara hiyo ya mwaka wa fedha 2015/2016 inaongeza fungu kwa ajili ya utafiti.
Hayo aliyasema Dar es Salaam jana, alipofungua mkutano wa tatu wa wanasayansi mbalimbali nchini ulioandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili, (MUHAS).
Alisema sekta ya utafiti ni muhimu kwa ajili ya maendeleo ya taifa lolote duniani hivyo wizara yake imeona umuhimu wa kuiwezesha...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Elimu atembelea Banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania kwenye maonyesho ya Elimu mjini Dodoma

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi wa Uhamasishaji rasilimali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania, Sylvia Lupembe, alipotembelea Banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania Jumatano Tarehe 13 Mei 2015.

 

11 years ago

Michuzi

Wananchama wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Habari na Utafiti nchini (RAAWU), Tawi la Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wakutana

Wananchama wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Habari na Utafiti nchini (RAAWU), Tawi la Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wamekutana kwa semina ya siku mbili mwishoni mwa wiki iliyopita kupitia pamoja na mambo mengine; masuala ya nafasi na wajibu wa kisheria wa vyama vya wafanyakazi katika kuleta tija na ufanisi sehemu za kazi.   Akifungua semina hiyo ya siku mbili kwa wanachama wa RAAWU tawi la HESLB, Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wadau wa elimu wayazungumzia matokeo ya utafiti wa Uwezo

Wakati sera ya Elimu ya Mwaka 1995 inayotumika sasa inataka mtoto anayemaliza darasa la pili awe na uwezo wa kusoma na kufanya hesabu za darasa la kwanza na pili, matokeo ya utafiti uliofanywa na Uwezo iliyo chini ya asasi isiyo ya kiserikali ya Twaweza yanaonyesha lengo hilo limekuwa halifikiwi shuleni.

 

11 years ago

Mwananchi

UTAFITI: ‘Sheria ya elimu inachochea ndoa za utotoni’

>Ofisa Elimu na Michezo Wilaya ya Kusini Unguja, Nassor Simba Hassan amesema sheria ya elimu inachangia wazee kuwaozesha vijana wao walio chini ya miaka 18.

 

10 years ago

Mwananchi

Inashangaza wabunge kulipua Bajeti ya Elimu

Katika toleo letu la jana, ukurasa wa sita kulikuwa na habari iliyokuwa na kichwa kisemacho “Mvua yasababisha bajeti ya elimu kupitishwa kwa kulipuliwa” kutokana na mvua zilizonyesha mfululizo kwa takriban siku tatu.

 

9 years ago

Mwananchi

Utafiti: Wananchi wanataka gesi isaidie afya, elimu

Utafiti mpya umeonyesha kuwa asilimia 80 ya wananchi wanataka mapato yatakayopatikana kwenye mauzo ya gesi asilia yatumike kwa ajili ya kuboresha huduma za afya na elimu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tanzania yaongoza kwa bajeti kiduchu ya elimu

IMEELEZWA kuwa Tanzania ni nchi inayotenga bajeti ndogo katika sekta ya elimu barani Afrika ukilinganisha na nchi nyingine na kusababisha kushuka kwa kiwango cha elimu nchini. Hayo yamebainishwa jana na...

 

10 years ago

Mwananchi

Upinzani, Kamati ya Bunge waifumua bajeti ya Elimu

>Kambi ya Upinzani Bungeni imeilipua Serikali ikihoji vigezo ilivyotumia kutoa taarifa ya Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), inayoonyesha kuwa sekta ya elimu imefanikiwa kwa asilimia 81 na kushika nafasi ya kwanza ya utekelezaji wa awamu ya kwanza ya mkakati huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani