Balozi Kagasheki, Lwakatare hapatoshi
Kampeni za wagombea ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini zimeingia katika hatua muhimu baada ya mgombea wa CCM, Balozi Khamis Kagasheki na Wilfred Lwakatare (Chadema), kutafuta kura nyumba kwa nyumba.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi31 Oct
Kagasheki ampongeza Lwakatare, akanusha kuchukua vitu alivyotoa
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
WAZIRI KAGASHEKI AJIUZULU
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
Kagasheki akumbushwa kutekeleza ahadi
SERIKALI imekumbushwa kutekeleza ahadi yake ya kuwadhamini watu 100 wakiwamo askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), kupanda Mlima Kilimanjaro kama sehemu ya maadhimisho ya sherehe za miaka 52...
10 years ago
Mwananchi04 Feb
Kagasheki: Wachache wasilazimishe Katiba
11 years ago
Mwananchi16 Jan
Kagasheki, Meya Amani wakwamisha maendeleo
9 years ago
GPLKAGASHEKI; MAGUFULI NI JEMBE; AWANASA WAPINZANI
10 years ago
Daily News22 Feb
Kagasheki riled by unruly Bukoba councillors
Daily News
BUKOBA Urban Legislator Ambassador Khamis Kagasheki has tasked the Bukoba Municipal Council to give explanations on circumstances that led to change of contract between the Council and Unity Trust of Tanzania (UTT). Mr Kagasheki, who is the ...
9 years ago
Habarileo28 Oct
Kapuya, Kagasheki na Zambi watupwa nje
WAZIRI katika Serikali ya Awamu ya Nne, Godfrey Zambi pamoja na waliokuwa mawaziri katika Serikali hiyo, Profesa Juma Kapuya na Balozi Khamis Kagasheki ni miongoni mwa wabunge waliotupwa nje katika matokeo ya ubunge yanayoendelea kutolewa baada ya Uchaguzi Mkuu wa Jumapili wiki hii.
11 years ago
Tanzania Daima09 May
Kagasheki amvaa Pinda mgogoro wa Bukoba
MBUNGE wa Bukoba Mjini, Balozi Khamis Kagasheki (CCM), amemtuhumu Waziri Mkuu Mizengo Pinda, kuwa ameshindwa kumchukulia hatua aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Bukoba, Dk. Anatory Amani, ambaye amegoma kutii maagizo...