Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI KAMALA AMKABIDHI CHETI CHA UTAMBUZI BWANA SAITOTI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji  ya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (wa pili Kutoka kulia) akimkabidhi cheti cha utambuzi Bwana Saitoti kumshukuru kwa kazi nzuri anayofanya ya kutafuta fedha Ubelgiji ya kusaidia kupambana na Umaskini Handeni Tanzania. Bwana Saitoti ametafuta fedha za kusaidia kutekeleza miradi ya maji Handeni. Balozi Kamala amekabidhi cheti hicho leo Ubelgiji- Antiwerpen. Balozi Kamala amesema kila mwaka Ubalozi wa Tanzania Ubelgiji utakuwa unatoa vyeti mbalimbali vya kutambua kazi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AANZISHA MFUKO WA "Dr. KAMALA AWARD FUND"


Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiwa na baadhi ya Wahitimu wa Kituo cha Chekechea cha Florence cha Kigogo Dar es salaam.Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala  akizungumza katika Mahafari ya Kituo cha Chekechea cha Florence yaliyofanyika Kigogo Dar es salaam. Watoto mia moja wamehitimu katika Kituo hicho na wote wamejifunza na kuelewa  kusoma na kuandika.
Balozi Kamala amewashukuru Bwana na Bibi Mbezi kwa kuanzisha kituo hicho. Aidha,...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKUTANA NA MWAKILISHI WA CHAMA CHA WAFANYABIASHARA WA LUXEMBOURG

Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Luxembourg na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Masuala ya Kimataifa wa Chama cha Wafanyabiashara cha Luxembourg Bwana Jean Claude Vesque. Bwana Claude alimtembelea Balozi Kamala leo ofisini kwake Brussels. Kushoto ni Bwana Jofrey Kabakaki afisa wa masuala ya uchumi Ubalozi wa Tanzania Ubeligi.

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA ATEMBELEA KIWANDA CHA KAMPUNI YA ABC UBELGIJI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji,Dk. Diodorus Kamala akiangalia mtambo wa kufua umeme unaotengenezwa na kiwanda cha ABC cha Ubelgiji. Mtambo huo ni kati ya mitambo itakayopelekwa Mpanda Tanzania.

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Kamala aomboleza kifo cha Kiongozi wa zamani wa Singapore

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akisaini Kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Singapore Ubelgiji. Singapore imempoteza Mhe. Lee Kuan Yew aliyewahi kuwa Kiongozi wa Singapore na ambaye aliwezesha nchi hiyo kuwa miongoni mwa nchi tajiri Diniani.

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA APOKEA ZAWADI KUTOKA CHUO KIKUU CHA GENT

Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akipokea zawadi kutoka kwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Gent Prof. PAul Cauwenberge baada ya kuhutubia Wanachuo wa Kimataifa wanaosoma Chuo Kikuu cha Ghent.

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA IRELAND

Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala akisaini Kitabu cha Maombolezo ya Waziri Mkuu wa zamani wa Ireland Mhe. Albert Reynolds. Kitabu hicho kimefunguliwa leo katika Ubalozi wa Ireland Ubelgiji.

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI CELESTINE MUSHY AMKABIDHI BALOZI TUVAKO MANAONGI MFANO WA KAHAWA AINA YA ARABICA NEW YORK

Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestin Mushy akimkabidhi Balozi Tuvako Manongi, Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, mfano wa kahawa aina ya arabica ambayo imefungashwa vema tayari kwa soko la nje, kahawa hiyo inazalishwa na kufungashwa na Kampuni ya Kitanzania ya Panone and Company Ltd

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA NDEGE YA MALAYSIA

Balozi wa Tanzania BELUX na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala akisaini Kitabu cha Maombolezo ya waliofariki katika ajali ya ndege ya Malaysia. Kitabu hicho kimefunguliwa leo hii katika Ubalozi wa Malaysia Brussels.

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AWAAGA MABALOZI WALIOMALIZA KIPINDI CHA KUWAKILISHA NCHI ZAO JUMUIYA YA ULAYA

Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pasifiki (ACP) akimkabidhi zawadi Balozi wa Togo Jumuiya ya Ulaya Balozi Kodjo Sagbo kwa niaba ya Kamati ya Mabalozi wa ACP. Balozi wa Togo amemaliza kipindi chake cha kuwakilisha nchi yake Jumuiya ya Ulaya. Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pasifiki (ACP) Dr. Diodorus Buberwa Kamala (wa kwanza kutoka kulia) akiwa katika picha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani