BANZA ALIA KUSHINDWA KUMUAGA KAPT. KOMBA
![](http://api.ning.com:80/files/AlF29i7dC3LFjG-QxG*w*wPVmyHTX7W0jz7b9AEXoFinHrPx*h995Tm9fJ*wO1O2L4Gmvx0cl*RjjqwkqQ5hT-GbpPiYByjw/banza.jpg)
BAADA ya mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba kuagwa na kusafirishwa kwenda kuzikwa mkoani kwao Ruvuma, msanii wa muziki wa dansi, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ amejikuta akilia na kusema ameumia sana kwa kushindwa kwenda kumuaga bosi wake huyo wa zamani kutokana na afya yake kuwa si shwari. Mwanamuziki Ramadhani Masanja ‘Banza Stone’. Akipiga stori na gazeti hili, Banza...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo01 Mar
Buriani Kapt John Komba
NI huzuni kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Jimbo la Mbinga Magharibi, Taifa, marafiki na familia, baada ya kufikwa na msiba mkubwa wa kiongozi, Mbunge, Kapteni wa Jeshi, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) na msanii mashuhuri wa Bendi ya Tanzania One Theatre (TOT), Kapteni John Komba.
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://2.bp.blogspot.com/-cxunJaW04xo/VPXmPWy62ZI/AAAAAAAAB20/GmOJsKiYm3w/s72-c/Komba%2B1.jpg)
MAPOKEZI YA MWILI WA KAPT. KOMBA RUVUMA
![](http://2.bp.blogspot.com/-cxunJaW04xo/VPXmPWy62ZI/AAAAAAAAB20/GmOJsKiYm3w/s1600/Komba%2B1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-QcPXxxfIfxQ/VPXmPQMmzPI/AAAAAAAAB24/h_suIAlm9oo/s1600/Komba%2B2.jpg)
10 years ago
Mwananchi01 Mar
Msiba wa Kapt Komba: Bunge lasema
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QiexpI9hytpAy2-Xh64sPjnXd9bNSRTjT1zdm86M0inbAIvYPxQzM34BNiAHe1I6yol7k3hzLGmq2n12b42vnGRLgAPjSFtQ/rr.jpg?width=650)
NAPE, NISHA KIVUTIO MSIBA WA KAPT. KOMBA
10 years ago
StarTV03 Mar
Mamia wajitokeza kuuaga mwili wa Kapt. John Komba.
Na Immaculate Kilulya,
Dar Es Salaam.
Mamia ya watanzania wamejitokeza kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi Capteni John Komba aliyefariki kutokana na ugonjwa wa kisukari na shinikizo la damu.
Capt. Komba alifariki Februari 28, mwaka huu katika hospitali ya TMJ jijini Dar Es Salaam ambapo mwili wake umesafirishwa kwenda Songea mjini kwa ajili ya misa ya kumuaga na baadaye mwili huo utasafirishwa kuelekea Mbinga kwa ajili ya kupumzishwa kwenye nyumba ya milele.
Mbali na...
10 years ago
Bongo Movies06 Mar
Kifo cha Kapt Komba: Nihurumieni Jamani!-Lulu
Kufuatia kifo cha ghafla cha Kapteni John Komba , mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ anadaiwa kuathirika kisaikolojia kutokana na kushambuliwa mitandaoni.
Kwa mujibu wa gazeti la Ijumaa , Baada ya Komba kufariki dunia Jumamosi iliyopita, baadhi ya Watanzania wasio na soni walianza kumtumia salamu za pole Lulu kwa madai kwamba aliwahi kutuhumiwa kutoka na mheshimiwa huyo ambaye pia alikuwa mwimbaji mwenye jina kubwa Bongo.
Habari kutoka kwa chanzo chao makini ambacho ni mtu wa...
10 years ago
Uhuru NewspaperSHUGHULI YA KUUAGA MWILI WA KAPT. KOMBA, VIWANJA VYA KARIAMJEE
10 years ago
CloudsFM03 Mar
Kapt.John Komba awekwa kwenye nyumba yake ya milele
Makada wa chama cha Mapinduzi na baadhi ya wananchi wakiandaa makazi ya milele ya marehemu Kapt.John Komba kijijini kwao Lituhi,Nyasa,mkoani Ruvuma.
10 years ago
CloudsFM03 Mar
Marehemu Kapt. John Komba kuzikwa leo kijijini kwao Lituhi,Nyasa,Ruvuma
Mwili wa aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi na mjumbe wa NEC,Marehemu Kapt.John Komba unatarajiwa kuzikwa leo kijijini kwao Lituhi,Nyasa mkoani Ruvuma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK. Jakaya Mrisho Kikwete, akiongoza maelfu ya Watanzania kuuaga mwili wa Kapteni John Komba, katika viwanja vya Karimjee jana jijini Dar es Salaam.