Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bao la Cannavaro lamuinua kitini Kopunovic

Richard Bukos na Abdallah Juma, Tanga
BAO la kichwa lililofungwa kiufundi na beki na nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ katika mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union ya Tanga juzi, lilizua matuko mawili makubwa ambayo ni gumzo mkoani hapa. Beki na nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’. Kwanza ni Kocha Mkuu wa Simba, Goran Kopunovic, kusimama mara baada ya kuingia kwa bao hilo na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Afa akiwa ameketi kitini

WATU wawili wamekufa katika matukio mawili tofauti jijini Dar es Salaam, likiwemo la mlinzi aliyetambuliwa kwa jina moja la Kamarada kufa akiwa amekaa kwenye kiti. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni Camillius Wambura tukio hilo ni la jana saa 9:30 usiku katika maeneo ya Kijitonyama katika jengo la White Star.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI SIMBA AZINDUA KITINI CHA ELIMU YA MALEZI KWA FAMILIA TANZANIA

 Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Sophia M. Simba (Mb.) akikata utepe kuzindua Kitini cha Zana za Mawasiliano kuhusu Elimu ya Malezi kwa Familia, kushoto kwake ni Mhe. Dk. Pindi H. Chana (Mb) Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, kulia kwake ni Georgina Mtenga kutoka UNICEF na Anna T. Maembe Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto.  Waziri akikabidhi Kitini hicho kwa Muwakilishi wa Watoto.
Wawakilishi wa Watoto, Wazazi, Waandishi wa Habari...

 

9 years ago

Mtanzania

Wanachama Simba wamtaka Kopunovic

kopunovicNA BARAKA JAMALI, MTWARA

WANACHAMA wa klabu ya Simba Mtwara, wameuomba uongozi wa timu hiyo umrudishe kocha wao wa zamani, Goran Kopunovic, ili kuweza kuirejesha heshima ya timu hiyo ya kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Wakizungumza na MTANZANIA kwa nyakati tofauti jana, wanachama hao walisema kuwa uongozi wa timu hiyo umekuwa ukibadili makocha kila mwaka jambo ambalo limewasababishia kufanya vibaya katika mashindano mbalimbali wanayoshiriki, pia kumfukuza kocha mzuri...

 

10 years ago

GPL

Kopunovic amkataa Joseph Owino

Kocha mkuu wa Simba, Goran Kopunovic. Na Nicodemus Jonas
SIKU chache baada ya beki wa kati wa Simba, Joseph Owino, kutua nchini ili kuendelea na kazi yake ya kuitumikia klabu hiyo, amekumbwa na balaa ambalo linaweza kumkosesha amani katika kipindi chake chote kilichobakia klabuni hapo. Balaa hilo linatokana na kocha mkuu wa timu hiyo, raia wa Serbia, Goran Kopunovic kudai kuwa hana mpango na mchezaji huyo katika kikosi chake...

 

10 years ago

GPL

Kopunovic amtaja aliyeimaliza Simba

Kocha wa Simba, Goran Kopunovic. Na Hans Mloli BAADA ya Simba kufungwa mabao 2-1 na Mbeya City, juzi Jumatano katika Ligi Kuu Bara, Kocha wa Simba, Goran Kopunovic, amefunguka kuhusu sababu zilizochangia kipigo hicho huku akimtaja mchezaji mmoja kuhusika. Kocha huyo raia wa Serbia ametoa tamko juu ya mechi hiyo iliyopigwa kwenye Uwanja wa Taifa kwa kusema kuwa kukosekana kwa baadhi ya wachezaji wake, hasa Said Ndemla...

 

10 years ago

GPL

Kopunovic aiwahi Yanga Tanga

Kocha wa Simba, Goran Kopunovic. Na John Joseph
YANGA inatarajiwa kushuka uwanjani leo pale Mkwakwani mkoani Tanga, kukipiga dhidi ya Coastal Union, lakini upande wa pili ni kuwa makocha wa Simba, Goran Kopunovic na msaidizi wake, Selamani Matola wanatarajiwa kuwa uwanjani hapo kuishuhudia mechi hiyo. Yanga itakuwa mgeni wa Coastal, katika mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara ikiwa inajiandaa kukipiga dhidi ya BDF ya Botswana, katika...

 

10 years ago

GPL

Kopunovic: Tambwe ni hatari aisee

Mchezaji wa Yanga, Amis Tambwe. Na Sweetbert Lukonge, Zanzibar
KOCHA Mkuu wa Simba, raia wa Serbia, Goran Kopunovic, amewashangaa viongozi wa klabu hiyo kwa kumuacha Amissi Tambwe kwenye usajili uliopita.Simba waliachana na Tambwe kwenye usajili uliopita kwa kile walichodai kuwa, ameshuka kiwango pamoja na kwamba msimu mmoja tu nyuma aliwapa heshima ya kuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Tambwe baada ya kuachwa,...

 

10 years ago

Vijimambo

Kopunovic alegeza masharti Simba.

Mserbia Goran Kopunovic.
Sizitaki mbichi hizi zimeanza kujitokeza kwa Mserbia Goran Kopunovic ambaye alishindwana na Simba baada ya kuitaka klabu hiyo kumpa Sh. milioni 100 za ada ya usajili ili kusaini mkataba mpya huku pia akiitaka kumuongeza mshahara na kuwa Sh. milioni 28 kwa mwezi.

Hata hivyo, wakati Simba ikiwa katika mchakato wa kusaka mbadala wake, imeelezwa kuwa kocha huyo ameanza kuwapigia simu viongozi wa klabu hiyo na kuwaambia ameshusha kiwango cha fedha anachotaka kulipwa ili...

 

10 years ago

Mwananchi

Kopunovic azuia kambi Simba SC

 Kocha Mkuu wa Simba Goran Kopunovic ametoa uamuzi uliowafurahisha wachezaji wake baada ya kuamrisha kuwa timu hiyo iingie kambini kesho badala ya jana jioni kama uongozi wa timu hiyo ulivyopanga.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani