BARA LA AFRIKA LAHIMIZWA KUWEKEZA ZAIDI, LOPEZ
Bw. Lopez akiwasilisha hotuba jijini Addis AbabaNa Ally Kondo, Addis AbabaUchumi wa Bara la Afrika umeelezwa kuwa unakua kwa kasi zaidi ukilinganisha na mabara mengine duniani. Hayo yamesemwa na Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ambaye pia ni Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Uchumi ya Afrika, Bw. Carlos Lopez wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa AU jijini Addis Ababa, Ethiopia siku ya Jumatatu tarehe 26 Januari 2015.Bw. Lopez alithibitisha kauli yake hiyo kwa kunakili ripoti...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBARA LA AFRIKA LAHIMIZWA KUWEKEZA ZAIDI - LOPEZ
Bw. Lopez akiwasilisha hotuba jijini Addis Ababa
Na Ally Kondo, Addis Ababa
Uchumi wa Bara la Afrika umeelezwa kuwa unakua kwa kasi zaidi ukilinganisha na mabara mengine duniani. Hayo yamesemwa na Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ambaye pia ni Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Uchumi ya Afrika, Bw. Carlos Lopez wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa AU jijini Addis Ababa, Ethiopia siku ya Jumatatu tarehe 26 Januari 2015.
Bw. Lopez alithibitisha kauli yake hiyo kwa kunakili ripoti...
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
PSPF kuwekeza zaidi katika vitega uchumi
MFUKO wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) unatarajia kuwekeza zaidi kwenye vitega uchumi vya muda mrefu, ili kulinda thamani ya michango ya wanachama wake na kulipa mafao bora zaidi....
11 years ago
MichuziVodacom kuwekeza zaidi katika kumkomboa Mwanamke
11 years ago
CloudsFM07 Aug
CLOUDS FM YATAJWA REDIO BARA 20 AFRIKA
Clouds fm imetajwa katika listi ya redio 20 bora za barani Afrika, kwa mujibu wa mtandao wa network africa, asanteni sana jamani tunajua kuwa hii nguvu ya waskilizaji na wadau wetu bofya hapo ushuhudie..http://www.networkafrica.com/top-20-best-radio-stations-africa/
9 years ago
BBCSwahili25 Aug
Soko la hisa Uchina laathiri bara Afrika
9 years ago
StarTV05 Jan
GFA yataka raisi atakayelibeba bara la Afrika
Wakati siku za kufanyika kwa uchaguzi wa kumpata raisi mpya wa shirikisho la soka duniani FIFA zikizidi kuhesabika,Chama cha soka nchini Ghana GFA kimeweka masharti kuwa kitakuwa tayari kumpigia kura mgombea atayeonyesha utayari wa kuongeza timu zitakazoshiriki michuano ya kombe la dunia.
Mbali na kuongeza timu shiriki katika kombe la dunia kutoka 32 hadi 40,Mwenyekiti wa GFA Kwesi Nyantakyi amesema raisi watakayempigia kura ni muhimu atoe kipaumbele katika kulipiga jeki bara la Afrika...
10 years ago
GPLMAADHIMISHO UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA YAANZA DAR!
5 years ago
CCM Blog16 Feb
MISRI YATAKA BARA LA AFRIKA LIPEWE HAKI YA KURA YA VETO
![Misri yataka bara la Afrika lipewe haki ya kura ya veto](https://media.parstoday.com/image/4bn16bcd07792avfrl_800C450.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-3St79zTJ2DY/VMuJL8tRUQI/AAAAAAAAaLg/bD63BoEla20/s72-c/securedownload%5B1%5D.jpg)
LICHA YA CHANGAMOTO NYINGI BARA LA AFRIKA LINAPIGA HATUA - ZUMA
![](http://2.bp.blogspot.com/-3St79zTJ2DY/VMuJL8tRUQI/AAAAAAAAaLg/bD63BoEla20/s1600/securedownload%5B1%5D.jpg)
Na Ally Kondo, Addis AbabaWakuu wa Nchi za Afrika wamekumbushwa...