Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Barabara Bunda kero kwa wananchi

ABIRIA wanaopita kwenye barabara ya Bunda-Ukerewe, wamelalamikia ubovu wa barabara hiyo na kuiomba serikali kuwaondolea kero hiyo. Baadhi ya wananchi hao wakiwemo madereva wa magari ya abiria pamoja na mizigo,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Huduma za Afya Zaboreshwa Bunda na Kuondoa Kero kwa Wananchi

Muonekano wa chumba cha upasuaji katika kituo cha afya Bunda mjini baada ya kuboreshwa  na Serikali ya Awamu ya Tano kwa gharama ya shilingi milioni 500 kwa kujengewa majengo mapya na vifaa tiba vya kisasa.Sehemu  ya  majengo ya  kituo cha Afya Bunda   mjini mkoani Mara  baada ya kuboreshwa na kuanza kutoa huduma za upasuaji kwa wananchi wa mji huo na maeneo ya jirani.(Picha  na  MAELEZO)

Jonas Kamaleki, Bunda 
Utoaji wa huduma za Afya umeboreshwa baada ya Serikali kutoa milioni 500 kwa ajili...

 

10 years ago

GPL

NAMTUMBO: WANANCHI WALIA NA KERO YA UMEME, MADARASA, MAJI NA BARABARA

Mheshimiwa Vita Kawawa. Namtumbo ni moja kati ya wilaya tano zinazounda Mkoa wa Ruvuma, Kusini mwa Tanzania. Upande wa Kaskazini, Namtumbo inapakana na Mkoa wa Morogoro, Mashariki kuna Wilaya ya Tunduru, Magharibi kuna Wilaya za Songea Mjini na Songea Vijijini na Kusini Namtumbo inapakana na Nchi ya Msumbiji. Pia, Namtumbo ni jimbo la uchaguzi linaloongozwa na Mheshimiwa Vita Kawawa, mtoto wa aliyekuwa waziri mkuu wa zamani na...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA JUU UBUNGO NA BARABARA, AONGEA NA KUSIKIL|IZA KERO ZA WANANCHI MBEZI MWISHO, MLOGANZILA, MLANDIZI,CHALINZE

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipita kukagua Maendeleo ya ujenzi katika sehemu ya  gorofa ya pili ya barabara ya juu Ubungo Interchange ambayo iko katika hatua za mwisho kukamilika kwa ajili ya magari kuanza kupita. Mradi mzima wa Makutano hayo ya Ubungo umefikia asilimia 75. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mke wake Mama Janeth Magufuli wakimsikiliza Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng....

 

11 years ago

Habarileo

Tembo wawa kero kubwa Bunda

TemboWANANCHI wanaopakana na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti katika Wilaya ya Bunda mkoani Mara, wamelalamikia kero ya tembo kuvamia makazi yao na kushambulia mazao. Wamesema hali hiyo, imewasababishia njaa.

 

10 years ago

GPL

BARABARA ZA KUINGIA STENDI YA MAKUMBUSHO ZAWA KERO KWA WATUMIAJI

Bajaji ikijaribu kupita pembeni ya barabara. Gari likionekana kupita pamoja na Bajaj katika njia hiyo inayoelekea maeneo ya Mwananyamala jijini Dar.…

 

10 years ago

GPL

MAJI TAKA, BARABARA MBOVU NI KERO KWA WAKAZI WA MWENGE DAR

Mkazi wa Mwenge akipita kwa kwa taabu katika moja ya barabara za Mwenge ambazo zimejaa maji taka na ambazo ni mbovu. MAJI taka yaliyovamia sehembu mbalimbali na barabara mbovu vimekuwa ni kero kubwa kwa wakazi wa Mwenge jijini Dar es Salaam hasa katika maeneo ya wafanyabiashara ndogondogo.  Matokeo ya adha hiyo ni kupitika kwa taabu sehemu hiyo na harufu mbaya inayotokana na maji hayo hususan kwa watembea kwa miguu....

 

9 years ago

StarTV

Mbunge wa Bunda kutowavumilia watendaji wazembe katika utoaji wa huduma kwa wananchi

Mbunge wa jimbo la Bunda Boniphace Mwita amesema kuwa hatawavumilia watendaji wa serikali na viongozi wa ngazi mbalimbali jimboni humo ambao watashindwa kwenda na kasi ya rais Magufuli kwani hatakuwa tayari kufanyakazi na watu wazembe.

Mbunge huyo wa Bunda ameyasema hayo kwenye kikao elekezi alichokiandaa katika kata ya Nyamuswa kikishirikisha viongozi wa ngazi mbalimbali na watendaji wote wa serikali, ili kila mmoja atambuwe wajibu wake wa kutumikia wananchi.

Mbunge wa Bunda Boniphace...

 

10 years ago

GPL

MVUA YASABABISHA KERO KWA WANANCHI DAR

Watembea kwa miguu wakipita kwa tabu eneo la Afrika-Sana. Magari pamoja na Bajaj zikionekana kupita kwa tabu eneo la Afrika-Sana Eneo la Bamaga…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani