Tembo wawa kero kubwa Bunda
WANANCHI wanaopakana na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti katika Wilaya ya Bunda mkoani Mara, wamelalamikia kero ya tembo kuvamia makazi yao na kushambulia mazao. Wamesema hali hiyo, imewasababishia njaa.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
Barabara Bunda kero kwa wananchi
ABIRIA wanaopita kwenye barabara ya Bunda-Ukerewe, wamelalamikia ubovu wa barabara hiyo na kuiomba serikali kuwaondolea kero hiyo. Baadhi ya wananchi hao wakiwemo madereva wa magari ya abiria pamoja na mizigo,...
5 years ago
MichuziHuduma za Afya Zaboreshwa Bunda na Kuondoa Kero kwa Wananchi
Jonas Kamaleki, Bunda
Utoaji wa huduma za Afya umeboreshwa baada ya Serikali kutoa milioni 500 kwa ajili...
11 years ago
Tanzania Daima16 Feb
Bidhaa bandia kero kubwa
KUNA kero nyingi katika taifa hili, ili tupige hatua na kuyasogelea maendeleo ya kweli ni lazima kutafuta ufumbuzi wa kuondoa kero hizi. Serikali yetu imeshambuliwa kwenye vyombo vya habari kwa...
11 years ago
Mwananchi22 Jan
Ujenzi huu Barabara ya Morogoro kero kubwa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Iiq-5qTP3-kH6aokJNk5If*V0icqDK7lyzLGXfP5*-UTv1fWCIO5epaMJji1WChXXidF3r6YYmNQAfmuCUlB5aRwsArTDSjA/Abasi.jpg?width=650)
WANANCHI: UKAHABA NA UKABAJI NI KERO KUBWA TEMEKE
10 years ago
GPLMVUA YAGEUKA KERO KUBWA KWA WAKAZI WA DAR
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NvWHU5oq4TbnWaKqHkUKeurOYN2uIkkdJ70*i6UQtGo7qmh8dn*npcP53DGkCgHcrTWjHMrY3af5BMU0hmYiTwByAOrEwGzO/tope3.jpg?width=650)
MVUA YAKIHARIBU KITUO CHA MABASI NJOMBE, KERO YAWA KUBWA KWA WATUMIAJI
9 years ago
MillardAyo01 Jan
Rekodi nane kubwa kwa leo >> kiboko wauaji, tembo wa Africa, treni kali Africa na mengine.. (+Picha)
Nimekutana na ripoti kwenye channel ya ETV ya South Africa ambayo imegusa vitu mbalimbali… kati ya simba na mnyama kiboko, yupi anaongoza kwa kuua binadamu ??!! Jibu lake ninalo hapa pamoja na mengine mengi mtu wangu. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, […]
The post Rekodi nane kubwa kwa leo >> kiboko wauaji, tembo wa Africa, treni kali Africa na mengine.. (+Picha) appeared first on...
9 years ago
Dewji Blog13 Nov
Wawezeshaji wa kampeni ya OKOA Tembo wa Tanzania wamtaka serikali kuchukua hatua kunusuru Tembo nchini
Miongoni mwa matukio ya tembo kufanyiwa ujangili kwa kutolewa pembe zake kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya marigafi.
Na Rabi Hume
Vijana wa kitanzania ambao wameungana na kuanzisha kampeni ya OKOA Tembo wa Tanzania wamemtumia barua ya wazi rais Dr. John Magufuli kwa kumtaka serikali yake ichukue hatua za makusudi ili kuokoa tembo waliosalia nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mratibu wa kampeni hiyo Shubert Mwarabu amesema wao kama vijana wameamua kumwandikia barua hiyo rais...