WANANCHI: UKAHABA NA UKABAJI NI KERO KUBWA TEMEKE
![](http://api.ning.com:80/files/Iiq-5qTP3-kH6aokJNk5If*V0icqDK7lyzLGXfP5*-UTv1fWCIO5epaMJji1WChXXidF3r6YYmNQAfmuCUlB5aRwsArTDSjA/Abasi.jpg?width=650)
Temeke ni moja kati ya wilaya tatu zinazounda Jiji la Dar es Salaam. Pia ni jimbo la uchaguzi linaloongozwa na Mheshimiwa Abbas Mtemvu kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).Temeke inapatikana Kusini mwa Jiji la Dar es Salaam ambapo kwa upande wa Mashariki, kuna Bahari ya Hindi, Kusini inapakana na Wilaya ya Mkuranga na Kaskazini na Magharibi inapakana na Wilaya ya Ilala. Mheshimiwa Abbas Mtemvu. Wiki iliyopita, Uwazi lilisaga...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima16 Feb
Bidhaa bandia kero kubwa
KUNA kero nyingi katika taifa hili, ili tupige hatua na kuyasogelea maendeleo ya kweli ni lazima kutafuta ufumbuzi wa kuondoa kero hizi. Serikali yetu imeshambuliwa kwenye vyombo vya habari kwa...
11 years ago
Habarileo09 Aug
Tembo wawa kero kubwa Bunda
WANANCHI wanaopakana na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti katika Wilaya ya Bunda mkoani Mara, wamelalamikia kero ya tembo kuvamia makazi yao na kushambulia mazao. Wamesema hali hiyo, imewasababishia njaa.
11 years ago
Mwananchi22 Jan
Ujenzi huu Barabara ya Morogoro kero kubwa
10 years ago
GPLMVUA YAGEUKA KERO KUBWA KWA WAKAZI WA DAR
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NvWHU5oq4TbnWaKqHkUKeurOYN2uIkkdJ70*i6UQtGo7qmh8dn*npcP53DGkCgHcrTWjHMrY3af5BMU0hmYiTwByAOrEwGzO/tope3.jpg?width=650)
MVUA YAKIHARIBU KITUO CHA MABASI NJOMBE, KERO YAWA KUBWA KWA WATUMIAJI
10 years ago
Mwananchi02 Nov
‘Kero za wananchi zisihusishwe na urais’
11 years ago
Mwananchi19 Jan
Mnyika kusikiliza kero za wananchi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m2dop3vQlLkNCQjnSdYVJL1*mzK*DnmG2zjgarnd7DOYqG0sMNquynSg2hccwHbWZ*EcZf1Bcqv2*mFaV8dFhC4O8c8*BpSs/WilliamNgeleja.jpg?width=650)
KERO YA MAJI INAVYOWATESA WANANCHI SENGEREMA
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
Barabara Bunda kero kwa wananchi
ABIRIA wanaopita kwenye barabara ya Bunda-Ukerewe, wamelalamikia ubovu wa barabara hiyo na kuiomba serikali kuwaondolea kero hiyo. Baadhi ya wananchi hao wakiwemo madereva wa magari ya abiria pamoja na mizigo,...