Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mnyika kusikiliza kero za wananchi

Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika leo anakutana na wananchi wenye makazi pembezoni mwa barabara ya Morogoro waliothirika na nyongeza ya hifadhi kinyume cha sheria ya ardhi na amri ya Mahakama Kuu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mnyika ataka majibu kero ya barabara

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amesema amemtumia ujumbe Waziri wa Ujenzi, John Magufuli, ili atoe kauli ya serikali juu ya ujenzi wa Barabara ya Morogoro, ambao umegeuka kuwa kero...

 

5 years ago

Michuzi

TUME YA UTUMISHI WA UMMA KUANZA KUSIKILIZA KERO NA MALALAMIKO YA WATUMISHI WA UMMA

Tume ya Utumishi wa Umma inapenda kuwajulisha watumishi wa umma na wananchi wote kuwa kuanzia leo tarehe 16 hadi 23 Juni 2020,  itakuwa inapokea na kusikiliza kero na malalamiko ya watumishi wa umma kuhusu masuala mbalimbali ya kiutumishi. Hii ni katika kuadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma.
Tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Corona inapewa kipaumbele katika kipindi hiki. Tunatakiwa kuzingatia Miongozo inayotolewa na Wizara ya Afya pamoja na maelekezo ya Viongozi Wakuu wa Nchi. Aidha,  watumishi...

 

10 years ago

Habarileo

Viongozi watakiwa kusikiliza malalamiko ya wananchi wao

VIONGOZI wa Serikali wametakiwa kusikiliza malalamiko ya wananchi wao na sio kuyapuuza kwani wanapofanya hivyo ndio chanzo cha uvunjifu wa amani nchini.

 

9 years ago

StarTV

Wananchi wahimizwa kusikiliza sera za vyama vya siasa na kuacha ushabiki

Wananchi wametakiwa kuacha ushabiki wa vyama na badala yake wajitokeze kusikiliza sera za vyama mbalimbali vya siasa nchini ili waweze kuchagua kiongozi kutokana na sera zitakazowaletea maendeleo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.

Hayo yamebainishwa na mgombea ubunge jimbo la Buchosa kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo Marco Manyilizu wakati wa kunadai sera za chama hicho kwa wananchi wa Kata ya Nyehunge wilayani Sengerema. 

Akizungumza katika mkutano wa kampeni mgombea huyo amesema kuwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mgombea wa CCM awatahadharisha wananchi kutoendelea kusikiliza propaganda za vyama vya upinzani

SAM_0074 Mgombea ubunge wa jimbo la Singida mashariki (CCM),Bwana Jonathani Njau )aliyesimama katikati ya uwanja akiwaomba kura za kuwa mbunge wa jimbo hilo katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Okt,25, mwaka huu.

Na, Jumbe Ismailly, Ikungi     

MGOMBEA wa ubunge wa jimbo la Singida mashariki kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),Jonathani Njau amewataka wananchi wa jimbo hilo kutokuwa tayari kuendelea kusikiliza Propaganda za kisiasa,walizozisikiliza kwa kipindi cha miaka mitano sasa,na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mnyika: Wananchi mwandikieni barua JK

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amewashauri wananchi wanaoishi kandokando mwa hifadhi ya Barabara ya Morogoro kumwandikia Rais Jakaya Kikwete barua  kuhusu mgogoro uliopo katika barabara hiyo. Mnyika alitoa ushauri...

 

10 years ago

Mwananchi

Mnyika:Rais atekeleze agizo lake kwa wananchi wa Ubungo

  Mbunge wa jimbo la Ubungo, John Mnyika, amemtaka Rais Jakaya Kikwete kutekeleza ahadi ya kuwapatiwa wananchi wake huduma ya maji aliyoitoa mwaka mmoja uliopita. 

 

10 years ago

Mwananchi

‘Kero za wananchi zisihusishwe na urais’

Mwenyekiti wa CCM mkoani Shinyanga, Khamis Mgeja amewatahadharisha wanasiasa na watendaji wa Serikali nchini kutohusisha kero na malalamiko yanayotolewa na wananchi na watu wanaousaka urais wa mwaka 2015.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani