Mnyika: Wananchi mwandikieni barua JK
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amewashauri wananchi wanaoishi kandokando mwa hifadhi ya Barabara ya Morogoro kumwandikia Rais Jakaya Kikwete barua kuhusu mgogoro uliopo katika barabara hiyo. Mnyika alitoa ushauri...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi19 Jan
Mnyika kusikiliza kero za wananchi
10 years ago
Mwananchi12 Dec
Mnyika:Rais atekeleze agizo lake kwa wananchi wa Ubungo
11 years ago
Habarileo12 Apr
Nape amwakia Mnyika
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, amemwashia moto mbunge wa Ubungo John Mnyika (Chadema) pamoja na wabunge wengine wa upinzani bungeni, kwa kitendo cha kudai hati za muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
10 years ago
Habarileo02 Oct
Sitta- Mnyika kanitukana
MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta amelieleza Bunge hilo kuwa, Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema), aliamua kumtukana yeye na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Andrew Chenge. “Bwana mmoja Mnyika ameamua kututukana mimi na Chenge…ametuita maharamia mbele ya mkutano wa hadhara huko Mwanza.
10 years ago
Tanzania Daima22 Nov
Mnyika amlipua Muhongo
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amemlipua Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo, kwamba ni muongo kwani ameshalidanganya Bunge zaidi ya mara tatu. Mbunge huyo ambaye pia ni...
10 years ago
Habarileo28 Oct
Mnyika atishia kushtaki
MBUNGE wa Ubungo John Mnyika amemtaka Waziri Mkuu ambaye ni Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utaokafanyika Desemba mwaka huu, kufanya marekebisho ya kanuni za uchaguzi kwa kuwa zina upungufu mwingi, la sivyo atafungua kesi mahakamani kupinga kanuni hizo.
11 years ago
Tanzania Daima09 Jul
Mnyika ambana mkandarasi
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amemtaka mkandarasi aliyeingia mkataba wa mradi mkubwa wa maji kutoka Mlandizi hadi kwenye matenki ya Kimara na Mtaa wa Kwembe, aharakishe na kuukamilisha kwa...
11 years ago
Tanzania Daima02 Mar
Mnyika amkaba Dk. Magufuli
SIKU moja baada ya Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli kuiamuru Kampuni ya Strabag kufungua barabara ya Morogoro na za mchepuko ambazo zimekamilika, Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amemtaka...
11 years ago
Habarileo24 Feb
Mnyika akumbushia fidia Mloganzila
MBUNGE wa Ubungo John Mnyika amemuomba Rais Jakaya Kikwete kuingilia kati na kutoa kauli kwa umma kuhusu fidia ya ardhi kwa wananchi wa Kata ya Mwembe eneo la Mloganzila kama ilivyoahidiwa kwa nyakati mbalimbali kati ya mwaka 2009 na 2010.