Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mnyika akumbushia fidia Mloganzila

MBUNGE wa Ubungo John Mnyika amemuomba Rais Jakaya Kikwete kuingilia kati na kutoa kauli kwa umma kuhusu fidia ya ardhi kwa wananchi wa Kata ya Mwembe eneo la Mloganzila kama ilivyoahidiwa kwa nyakati mbalimbali kati ya mwaka 2009 na 2010.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

JK aombwa kuingilia kati fidia Mloganzila

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amemuomba Rais Jakaya Kikwete kuingilia kati na kutoa kauli kwa umma kuhusu fidia ya ardhi kwa wananchi wa Kata ya Mwembe, eneo la Mloganzila...

 

11 years ago

GPL

SANDRA AKUMBUSHIA MATESO YA KAOLE

Stori: Mayasa Mariwata
MUUZA sura wa sinema za Kibongo, Salma Salmini ‘Sandra’ ametoa dukuduku lake baada ya kuelezea mateso aliyopata kipindi alipokuwa anaanza kujihusisha na masuala ya sanaa katika Kundi la Kaole. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Salma Salmini ‘Sandra’ Sandra aliliambia Ijumaa kuwa, mateso anayoyazungumzia ni yale ya kunyanyaswa na wasanii wenzake huku wakimfanyia vitimbi vya kila...

 

9 years ago

Habarileo

Nape akumbushia yaliyotokea NEC

KATIBU wa CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nauye, ameanika sababu za Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutomteua aliyewahi kuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa, kuwa mgombea wake urais katika uchaguzi wa mwaka huu, kuwa ni pamoja na kuwa na historia ya kutumia vibaya madaraka yake katika kila ofisi anayopewa.

 

9 years ago

Bongo5

Nakaaya akumbushia pressure aliyokuwa nayo wakati wa kujiandaa kurekodi wimbo na Lady Jaydee ‘Sista Sista’

Kwa mwanamuziki kufanya kazi kwa mara ya kwanza na muimbaji aliyekuwa akimchukulia kama mtu wake wa mfano, wasiwasi si jambo la kushangaza. Hali hiyo ndio ilimkuta Nakaaya wakati akirekodi wimbo na Lady Jaydee, Sista Sista mwaka 2009. “Niliandika wimbo huu mwaka 2009 pamoja na msanii niliyekuwa namwangalia, ambaye baadaye alikuja kuwa rafiki mkubwa, Lady Jaydee. […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Mfuko wa fidia kwa wafanyakazi kusimamia Haki ya Fidia kwa wafanyakazi

MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, WCF, Masha Mshomba, akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari makao makuu ya Mfuko huo barabara ya Bagamoyyo jijini Dar es Salaam, Agosti 16, 2015. Mfuko huo ulioanzishwa kwa sheria ya bunge namba 20 kifungu cha 5 ya mwaka 2008, una madhumuni ya kutoa fidia kwa Wafanyakazi kutokana na ulemavu au vifo viinavyosababishwa na ajali au magonjwa yatokanayo na kazi sambamba na kukuza mbinu za kuzuia matukio ya ajali, alisema. (Picha na...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA MAADILI YAZINDULIWA MLOGANZILA


Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Charles Majinge akizungumza wakati wa uzinduzi wa kamati ya maadili katika Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila

Baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo wakifuatilia kwa makini mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa katika uzinduzi

Prof. Majinge na viongozi wakuu wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa kamati ya maadili ya MNH-Upanga na Mloganzila.

Katibu Kanda ya Mashariki, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mloganzila wamkomalia Prof. Tibaijuka

WAKAZI wa Kwembe, Kisopwa na Mloganzila katika Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, wameandamana hadi Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakishinikiza kuonana na Waziri, Profesa Anna Tibaijuka,...

 

10 years ago

Michuzi

WAKAZI WA MLOGANZILA WAVAMIA WIZARA YA ARDHI

Wakazi wa Mloganzila wa Kata ya Kwembe  wilayani Kinondoni wakiwa katika Ofisi ya Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa ajili kudai fidia maeneo yalichukuliwa katika Mradi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili,jijini Dar es Salaam leo.  Mwenyekiti wa Kamati ya Kufatilia Madai  kwa  Wakazi  wa Mloganzila –Kwembe,Fedrick Schone akitoa malalamiko yao katika Ofisi za wizara ya  Nyumba na Maendeleo ya Makazi kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi...

 

5 years ago

Michuzi

Watanzania wajitokeza kupimwa usikivu Mloganzila

Mamia wajitokeza kupimwa usikivu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila katika kuadhimisha siku ya usikivu duniani yenye kauli mbiu isemayo “Usiruhusu upotevu wa usikivu uwe kikwazo, usikivu bora kwa maisha bora” lengo ikiwa ni kuchunguza kiwango cha usikivu kwa wananchi.

Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) takribani watu 466 milioni duniani wana matatizo ya usikivu ambapo inakisiwa kuwa hadi kufikia mwaka 2050 idadi hiyo inatarajiwa kuongezeka hadi kufikia 900...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani