Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Barabara kupunguza watalii Serengeti

Watalii wanaotembelea Hifadhi ya Serengeti wanaweza kupungua kutokana na miundombinu ya barabara za hifadhi hiyo kuwa mbovu, imeelezwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Watalii bilionea watembelea Hifadhi ya Serengeti

Watalii bilionea 100 kutoka nchi za Ulaya na Marekani wanaotumia ndege binafsi aina ya Boeing BBJ 737 HB-11Q wametembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na kuisifia, wakisema ni moja ya urithi wa dunia unaostahili kutunzwa kwa faida ya vizazi vya sasa na vijavyo.

 

10 years ago

Michuzi

UBOVU WA BARABARA WAWAKOSESHA RAHA WATALII WA NDANI KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA MLIMA KILIMANJARO.

Baadhi ya watalii wa ndani wakiwa eneo la kambi ya Tembo wakisubiri magari madogo ya hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro (KINAPA) kwa ajili ya kuwachukua kuwapeleka katika hifadhi hiyo. Magari yaliyokuwa yakitumiwa na watalii wa ndani waliokuwa wakipanda kwenda kilele cha Shira yakiwa yameegeshwa baada ya kushindwa kuendelea na safari kutokana na ubovu wa barabara.
Watalii wa ndani walilazimika kupanda magari ya aina hii ili kufika katika kilele cha Shira.
Safari ya kuelekea kilele cha Shira...

 

5 years ago

Michuzi

BARABARA YA MCHEPUO KUPUNGUZA KERO YA FOLENI – KIYEGEYA




Kazi za ujenzi wa barabara ya mchepuo katika eneo la Kiyegeya, Wilaya ya kilosa, mkoani Morogoro zikiendelea. Ujenzi wa barabara hiyo upo katika hatua za mwisho na tayari magari makubwa na madogo yameshaanzakuruhusiwa kupita.Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayeshughulikia Sekta ya Ujenzi, Arch. Elius Mwakalinga, akisimamia zoezi la...

 

5 years ago

Michuzi

BARABARA YA MCHEPUO KUPUNGUZA KERO YA FOLENI - KIYEGEYA

Serikali imeanza kuyaruhusu magari yaliyokwama katika Barabara Kuu ya Dodoma - Morogoro katika eneo la Kiyegeya, wilaya ya Kilosa kupita katika njia ya mchepuo ambayo imejengwa ili kupunguza msongamano mkubwa wa magari uliopo katika barabara hiyo.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, wakati akisimamia hatua za ujenzi wa barabara hiyo ya mchepuo ambapo pamoja na mambo mengine amesema hadi sasa zaidi ya malori 60 yameshavuka katika barabara...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ujenzi wa barabara Serengeti wazuiwa

Wakazi wa Ngorongoro wamelalamika kufuatia uamuzi wa kusitisha mradi wa ujenzi wa barabara kupita Serengeti

 

10 years ago

Mwananchi

Rufaa barabara ya Serengeti yaanza

Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), imeziagiza pande zinazohusika kwenye rufaa ya kupinga hukumu ya kuzuia ujenzi wa barabara ya lami kupitia katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kuwasilisha hoja zao ifikapo Desemba 5, mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Ahadi ya ujenzi barabara Serengeti yakwama

Arusha, Ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami kutoka Mto wa Mbu, wilayani Monduli, Mkoa wa Arusha hadi Nata, wilayani Serengeti, Mkoa wa Mara umekwama baada ya Serikali kushindwa kutoa fedha kama ilivyoahidi awali.

 

11 years ago

Dewji Blog

Kifusi cha barabara chahofiwa kupunguza mapato ya halmashauri Bagamoyo

IMG_1480

Wamiliki wa Hotel za kitalii mjini Bagamoyo wamelalamikia uongozi wa wa Halimashauri hiyo kwakutojali Uchangiaji wa mapato yatokanayo na wageni wanaokwenda katika mahoteli wametoa mfano wa Kifusi kilicho mwagwa (pichani) zaidi ya miezi miwili bila kusambazwa hivyo kufanya wageni kushindwa kufika katika Hoteli.

IMG_1480

IMG_1468

IMG_1469

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani