Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rufaa barabara ya Serengeti yaanza

Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), imeziagiza pande zinazohusika kwenye rufaa ya kupinga hukumu ya kuzuia ujenzi wa barabara ya lami kupitia katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kuwasilisha hoja zao ifikapo Desemba 5, mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mahakama ya Rufaa yaanza vikao Arusha

MAHAKAMA ya Rufaa Tanzania imeanza kusikiliza kesi 34 katika kikao chake cha wiki tatu kilichoanza Arusha.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ujenzi wa barabara Serengeti wazuiwa

Wakazi wa Ngorongoro wamelalamika kufuatia uamuzi wa kusitisha mradi wa ujenzi wa barabara kupita Serengeti

 

11 years ago

Mwananchi

Barabara kupunguza watalii Serengeti

Watalii wanaotembelea Hifadhi ya Serengeti wanaweza kupungua kutokana na miundombinu ya barabara za hifadhi hiyo kuwa mbovu, imeelezwa.

 

11 years ago

GPL

SERENGETI FIESTA 2014 YAANZA MWANZA KWA KISHINDO

Msanii wa Bongo Flava, Linah Sanga (wa pili kushoto) na mkali wa muziki huo na mshindi wa tuzo ya AFRIMMA 2014, Diamond Platinum (kushoto) wakifanya vitu vyao katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza jana. Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platinum' (kushoto), akilitawala jukwaa pamoja na baadhi ya wacheza shoo wake katika onyesho la kwanza la Tamasha la Serengeti...

 

10 years ago

Mwananchi

Ahadi ya ujenzi barabara Serengeti yakwama

Arusha, Ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami kutoka Mto wa Mbu, wilayani Monduli, Mkoa wa Arusha hadi Nata, wilayani Serengeti, Mkoa wa Mara umekwama baada ya Serikali kushindwa kutoa fedha kama ilivyoahidi awali.

 

11 years ago

Michuzi

MVUA YAHARIBU SEHEMU YA BARABARA KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI

Lori la kubeba kifusi kwa ajili ya ukarabati wa barabara iliyopo katika hifadhi ya serengeti likiwa limekwama baada ya kunasa kwenye tope na kufunga barabara kwa muda. Magari yaliyokuwa na watalii yalilazimika kuchepuka na kuendelea na safari. Zikafanyika jitihada za kulinasua hilo gari kutoka katika eneo hilo . Barabara iko kwenye matengenezo. Hatimaye gari lilifanikiwa kutoka sehemu lilipokuwa limenasa. Safari ikaendelea kwa watumiaji wa mabasi yaendayo Musoma na...

 

9 years ago

Mtanzania

Barabara ya mabasi yaendayo kasi yaanza kuwekwa viraka

asteria-may20-2014(1)Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam

HUKU ikiwa bado haijaanza kutumika, barabara ya Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi (Dart), imeanza kuwekwa viraka, hali ambayo imesababisha msongamano wa magari katika barabara za Morogoro, Mandela na Samnujoma, jijini Dar es Salaam.

Viraka hivyo vimeanza kuwekwa kwenye barabara hiyo eneo la Ubungo  ambalo linaunganisha barabara hizo zilizokumbwa na misururu mirefu ya magari jana.

Mradi huo ulitakiwa kukabidhiwa tangu Oktoba mwaka huu  ili mabasi hayo yaweze...

 

5 years ago

CHADEMA Blog

Mahakama ya Rufaa kutoa uamuzi rufaa ya Jamhuri dhidi ya Mbowe na Matiko

Mahakama ya Rufani leo imeketi kusikiliza hoja za wakata rufaa (Jamhuri) na wakatiwa rufaa (utetezi) kwenye maombi ya rufaa namba 344  yaliyopo Mahakama Kuu kuhusu kufutiwa dhamana kwa washtakiwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (Mb) na Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko. Upande wa Jamhuri umeiomba Mahakama ya Rufaa kuamuru maombi hayo 344 yatupiliwe mbali na Mahakama Kuu kwa sababu

 

11 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YAENDESHA DROO YA KWANZA YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI.

   Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Allan Chonjo akitangaza washindi wa droo ya kwanza ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti inayoendeshwa na kampuni hiyo nchini kote, kushoto kwake ni Meneja wa bia ya Serengeti Rodney Rugambo, na kulia kwake ni Afisa Mwandamizi kutoka PWC Bwana Tumain iliyofanyika mapema leo jijini Dar es Salaaam.  Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia  Serengeti Allan Chonjo akiongea kwa njia ya sinu na moja wa washindi wa droo ya kwanza ya Winda Safari ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani