Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baraza la kuunganisha vijana nchini kuundwa

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella MukangaraSERIKALI imesema kwamba Baraza la Vijana litakaloundwa, kitakuwa ni chombo cha kitaifa cha kuwaunganisha vijana kubaini changamoto zinazowakabili, bila kujali itikadi zao za kisiasa, dini, rangi na jiografia na namna ya kuzitatua.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Umoja wa Mataifa wapongeza kuundwa baraza la mawaziri Sudan Kusini

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amepongeza hatua ya kuundwa baraza la mawaziri la serikali ya mpito ya umoja wa kitafa nchini Sudan Kusini.

Kwenye taarifa yake msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Stephanie Dujaric, amesema Guterres amepongeza moyo wa maelewano na ushirikiano uliooneshwa na pande husika, ambao umeleta maendeleo haya muhimu.

Guterres amesisitiza utayari wa Umoja wa Mataifa kusaidia pande za Sudan Kusini kutekeleza makubaliano ya Amani ya mwaka 2018, kwa...

 

10 years ago

Michuzi

Vijana waridhishwa na mswada uliopitishwa bungeni wa kuanzishwa baraza la vijana la Taifa

Na Mwandishi wetu
Vijana wameridhishwa na mswada uliopitishwa bungeni wa kuanzishwa baraza la vijana la Taifa na kudai kuwa hiyo ndio njia mojawapo vijana wanaweza kuendeleza shughuli zao za maendeleo .
Wamedai kuwa katika mswada huo vijana wanangazi zao za uongozi kutoka vijijini hadi kitaifa na hali hiyo inakuwa ni rahisi vijana kuwa na uwezo wa kuelezea changamoto zinazowakabili .
Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es salaam na shirika la Restless Development Tanzania – ICS) ...

 

10 years ago

Michuzi

Vijana nchini watakiwa kujitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Dunia

Na Frank Shija, WHVUM
Vijana watakiwa kujitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani ambayo kitaifa yatafanyika tarehe 12 Agosti jijini Dar es Salaam huku kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa ni “Ushiriki wa Vijana katika masuala ya Kiraia”
Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam.
Bibi Sihaba amesema kuwa maadhimisho hayo yamekuwa yakifanyika kila mwaka...

 

10 years ago

Michuzi

Vijana nchini watakiwa kuzingatia vigezo ili kunufaika na Mikopo ya Mfuko wa Maendeleo ya Vijana (YDF)

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi Concilia Niyibitanga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana leo jijini Dar es Salaam.Kuliani Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana Dkt. Steven Kissui na kushoto ni Afisa Habari wa Idara ya Habari MAELEZO Bw. Frank Mvungi. Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana Dkt. Steven Kissui akionyesha Kitabu cha Sera ya Maendeleo ya...

 

9 years ago

Vijimambo

BARAZA LA VIJANA WA CCM

 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mjumbe wa NEC Jerry Slaa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia kwenye Baraza la Vijana wa CCM Wajumbe wa Baraza la Vijana wa CCM wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete. Wajumbe wa Baraza la Vijana wakiwa kwenye hamasa ya hali ya juu.
 Katibu...

 

10 years ago

Habarileo

Bunge lapitisha Muswada wa Baraza la Vijana

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella MukangaraBUNGE limepitisha Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana wa mwaka 2015, uliowasilishwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara.

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Toeni maoni muswada baraza la vijana’

KATIBU Ofisi ya Mbunge wa Ubungo, Aziz Himbuka, amewataka wadau mbalimbali kutoa maoni yao juu ya kuboreshwa muswada wa kuunda Baraza la Vijana la Taifa. Akizungumza jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Hatimaye muswada Baraza la Vijana kujadiliwa

HATIMAYE muswada wa uanzishwaji wa Sheria ya Baraza la Vijana wa Mwaka 2013 uliowasilishwa na Mbunge wa Ubungo John Mnyika, utajadiliwa katika mkutano wa 16 na 17 wa Bunge, utakaonza...

 

10 years ago

Habarileo

Mawaziri waridhia sheria ya kuanzishwa Baraza la Vijana

Assah MwambeneBARAZA la Mawaziri limeridhia kutungwa kwa Sheria ya Kuanzisha Baraza la Vijana ambalo litakuwa chombo cha kuwaunganisha vijana nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani