Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Barnaba Elias amebarikiwa vipaji vingi

Upande wa burudani imekuwa ni nadra kwa wanamuziki kuwa na vipaji vyote yaani uimbaji pamoja na utunzi wa nyimbo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Barnaba aanzisha bendi yake ‘Barnaba Classic’

Barnaba ameanzisha bendi yake mwenyewe. Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa bendi yake ilikuwepo lakini sasa itakuwa na vifaa vya kisasa. “Nina bendi toka muda mrefu ila sasa hivi ndo naifanya official. Naanza kunua vifaa vyangu vya muziki au kama akitokea mtu akaninunulia sio mbaya pi,” amesema. “Bendi itakuwa ni bendi tofauti zingine zote unazozijua. Mimi […]

 

11 years ago

GPL

KWAHERI ELIAS DEDE SENGEREMA

Picha ya enzi za uhai wa wake marehemu Elias Dede Sengerema. Waombolezaji wakishuka kwenye gari eneo la makabuli ya familia, Ipango, Salawe, Shinganya Vijijini.…

 

9 years ago

Habarileo

Kiemba ampa somo Elias Maguli

KIUNGO wa Stand United, Amri Kiemba amemtaka mshambuliaji wa timu hiyo Elias Maguli kutokimbilia timu kubwa kipindi hiki badala yake aendelee kuitumikia timu hiyo ili kukuza kiwango chake na kupata uzoefu wa kutosha.

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete akunwa na vyama vingi

RAIS Jakaya Kikwete amesema mfumo wa vyama vingi vya siasa ni mzuri, umeleta matumaini kwa kupanua wigo na kufungua zaidi uwanja wa kisiasa na kuiwajibisha Serikali.

 

11 years ago

Michuzi

TIMU NZIMA YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA YAELEKEA MKOANI MWANZA KWAAJILI YA KUANZA ZOEZI LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA

Timu nzima ya Tanzania Movie Talents kutoka kampuni ya Proin Promotions Limited wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza safari ya kuelekea Mwanza kwaajili ya shindano la kutafuta Vipaji vya Uigizaji Tanzania ambapo shindano hili litaanzia katika Kanda ya Ziwa katika Mkoa wa Mwanza Kuanzia tarehe 5 April 2014 mahali ni Isamilo Lodge. Mdau Karimu Muhidin Michuzi na Baadhi ya vijana wa kazi katika timu ya kusaka vipaji wakiwa tayari kwa safari ya Mwanza. Mabasi yakiwa tayari kwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Baba Haji: Pacho amenifundisha vingi

Patch+blogNA GEORGE KAYALA, DAR ES SALAAM
MWIGIZAJI wa filamu za Bongo, Adam Haji ‘Baba Haji’, amesema kupata nafasi ya kufanya kazi na Pacho Mwamba kumemsaidia kujifunza vitu vingi.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Baba Haji alisema kwa muda mrefu alikuwa amejiwekea malengo ya kufanya kazi na msanii huyo maarufu wa muziki wa dansi nchini.
Alisema tayari maandalizi ya filamu hiyo ambayo imepewa jina la ‘Mary Mary’, yamefikia hatua nzuri, hivyo mashabiki wajiande kupokea ujio wake mpya.
“Filamu yangu...

 

11 years ago

BBCSwahili

Vifo vya watoto vingali vingi

Saa 24 za kwanza za maisha ya mtoto ni muhimu na ni za hatari sana, wengi sana hufa katika siku ya kwanza tangu wanapozaliwa.

 

11 years ago

Michuzi

JK: Vyama vingi vimepanua wigo wa kisiasa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa mfumo wa vyama vingi vya siasa ni mzuri, umeleta matumaini kwa kupanua wigo na kufungua zaidi uwanja wa kisiasa pamoja na kuiwajibisha Serikali.
Hata hivyo, Rais Kikwete amesema kuwa ili mfumo huo uboreshwe zaidi na uweze kuimarisha misingi mikuu ya maendeleo ni lazima uendeshwa kwa watu kufuata sheria na wala siyo kuingiza matumizi ya nguvu ambayo yanaweza kuvuruga nchi.
Rais Kikwete ambaye pia ni...

 

10 years ago

Vijimambo

MAREHEMU ELIAS ANTHONY MAPUNDA AZIKWA MAKABURI YA KINONDONI

1Kaka wa Marehemu Elias Anthony Mapunda Bw. Nesto Mapunda wa pili kutoka kulia na Mkewe Teddy Mapunda wakiwa wamesimama mbele ya jeneza la marehemu Anthony tayari kwa kiungia katika kanisa katoliki la Mtakatifu Matha Mikocheni kwa ajili ya misa maalum ya mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinondoni jana Fullshangwe inampa pole Ndugu Nesto Mapunda pamoja na ndugu na jamaa kwa kuondokewa na ndugu yao mpendwa marehemu Elias Anthony Mapunda. Wao walimpenda lakini mungu amempenda zaidi Mungu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani