BASATA KURUDISHA HADHI YA MUZIKI WA REGGAE
![](http://api.ning.com:80/files/yallYWJbJ*b3iqQKFydqzasPqogbvfujTnFdxopnLErfoxy-VPYx8k7WLwS0gjT*YuYcpJAhoL6E7gAxLRnM0fhkwCy4Qou-/basata.jpg)
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kushirikiana na Kampuni ya Reggae Production House iliyo chini ya Msanii Mkongwe wa reggae Innocent Nganyagwa limeandaa programu maalum kwa ajili ya kurudisha hadhi ya muziki wa reggae nchini. Programu hiyo ambayo itafanyika makao makuu ya BASATA yaliyoko Ilala Sharif Shamba jijini Dar es Salaam Jumatatu ya Tarehe 28/09/2015 kuanzia saa 4:00 hadi saa 6:30 Mchana kupitia Programu ya Jukwaa la...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo529 Sep
BASATA, wadau waweka mikakati kuupa hadhi muziki wa Reggae
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZhVsrLD0Lni*YA2HfmIBGEIjrVhStmi00pEQLF7V6Dg*X5ORt6r3WBKr7iy4kKTyXe2-kh88ZYISevQJYE2jOFyBZ-8p3Ei8/1..jpg?width=650)
BASATA, WADAU WAJIPANGA KUURUDISHA JUKWAANI MUZIKI WA REGGAE
9 years ago
Mtanzania28 Sep
Kongamano la muziki wa reggae kufanyika leo
NA THERESIA GASPER
BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kushirikiana na Kampuni ya Reggae Production House, iliyo chini ya Msanii Mkongwe wa reggae, Innocent Nganyagwa, limeandaa kongamano maalumu kwa ajili ya kurudisha hadhi ya muziki wa reggae nchini itakayofanyika leo katika makao makuu ya Basata Ilala jijini Dar es Salaam.
Kongamano hilo lina lengo la kurudisha muziki wa reggae jukwaani na kujadili mwelekeo wa muziki huo ili urudishe hadi yake.
Ofisa Habari wa Basata, Alistidesi...
10 years ago
Dewji Blog27 Aug
Exclusive: Mtanzania DABO ametajwa kuwania tuzo za reggae za kimataifa na muziki wa dunia 2014 (IRAWMA)
Unaweza kuwa humfahamu kwa vile hana kelele nyingi….TUONYESHE UZALENDO KWA KUMPIGIA KURA SASA
Msanii bora wa muziki wa Reggae Tanzania, DABO (Pichani) amepata nafasi ya kuipeperusha bendera ya Tanzania katika anga za kimataifa, baada ya kuchaguliwa kuwania tuzo kubwa kabisa za reggae za kimataifa na muziki wa dunia 2014 (International Reggae and World Music Awards (IRAWMA).
DABO anawania tuzo hizi katika kipengele cha Mtumbuizaji Mpya Bora, akikabiliwa na ushindani kutoka kwa wasanii MC...
11 years ago
Mwananchi21 Feb
Basata yahimiza matumizi ya vyombo vya muziki
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-FAesQelgR30/Vbr2qhQ-l0I/AAAAAAABS84/C8jo4BBt354/s72-c/shilole%2B2.jpg)
BASATA YAMFUNGIA SHILOLE MWAKA MMOJA KUTOJIHUSISHA NA MUZIKI
![](http://1.bp.blogspot.com/-FAesQelgR30/Vbr2qhQ-l0I/AAAAAAABS84/C8jo4BBt354/s640/shilole%2B2.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-05_vBiZGNeA/Vbr1sbCp83I/AAAAAAABS8o/nW0VN3xAzXw/s1600/shilole%2B1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-6hF4R7SrojM/Vbr1pPZ4iBI/AAAAAAABS8g/aqgjgusjkwk/s1600/shilole.jpg)
10 years ago
Dewji Blog16 Dec
BASATA yaomboleza kifo cha msanii nguli wa tasnia ya muziki wa Dansi nchini Shem Ibrahim Kalenga
Marehemu Shem Ibrahim Kalenga enzi za uhai wake.
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za msiba wa msanii nguli wa tasnia ya muziki wa Dansi nchini Shem Ibrahim Kalenga
“ Baraza limestushwa na kuhuzunishwa sana kutokana na taarifa ya kifo hiki cha Shem Ibrahim Kalenga ambaye mchango wake katika muziki wa Dansi ni mkubwa mno na unahitajika sana, pengo aliloliacha ni kubwa kwani ubunifu wake bado unahitajika katika tasnia hii.” Baraza linatoa pole kwa...
9 years ago
Bongo514 Dec
Beka Ibrozama: Muziki wa biashara usitufanye tuutupe muziki wa asili ya Tanzania
![beka](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/beka-300x194.jpg)
Muimbaji aliyewahi kutamba na wimbo wake ‘Natumaini’, Beka Ibrozama ameonya kuwa kama wasanii watajisahau na kufanya zaidi ule wanaouita muziki wa biashara wenye kukopa vionjo vya nje, muziki wenye asili ya Tanzania utapotea.
Akiongea kwenye kipindi cha Chill na Sky hivi karibuni, Beka alisema pamoja na kufanya nyimbo za kisasa, bado amekuwa akitumia muziki wenye asili ya Tanzania kumpa inspiration.
“Nasikiliza tu jinsi muziki unavyoelekea, naona ni muziki ambako upo wa kukopi sana, watu...
10 years ago
Bongo520 Oct
Nikki Wa Pili: Nguvu ya muziki wa nyumbani bado imeonekana ni kubwa zaidi ya muziki wa kigeni