Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BASATA, wadau waweka mikakati kuupa hadhi muziki wa Reggae

Wadau wa muziki wa reggae nchini kwa kujengewa mazingira na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) wameweka mikakati ya pamoja ya kuhakikisha wanaurudisha jukwaani muziki huo na kuainisha changamoto mbalimbali zinazoukabili. Katibu wa chama cha waandishi wa Habari za Sanaa na Utamaduni (CAJAtz) Hassan Bumbuli akisisitiza jambo wakati akiongea na wadau wa muziki wa reggae […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

BASATA KURUDISHA HADHI YA MUZIKI WA REGGAE

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kushirikiana na Kampuni ya Reggae Production House iliyo chini ya Msanii Mkongwe wa reggae Innocent Nganyagwa limeandaa programu maalum kwa ajili ya kurudisha hadhi ya muziki wa reggae nchini. Programu hiyo ambayo itafanyika makao makuu ya BASATA yaliyoko Ilala Sharif Shamba jijini Dar es Salaam Jumatatu ya Tarehe 28/09/2015 kuanzia saa 4:00 hadi saa 6:30 Mchana kupitia Programu ya Jukwaa la...

 

9 years ago

GPL

BASATA, WADAU WAJIPANGA KUURUDISHA JUKWAANI MUZIKI WA REGGAE

Msanii mkongwe wa muziki wa reggae na Mkurugenzi wa Reggae Production House Innocent Nganyagwa akiongea na wadau wa muziki huo mapema wiki hii kwenye programu maalum ya kujadili hatma ya muziki wa reggae iliyoandaliwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na kufanyika makao makuu ya Baraza hilo Ilala Sharif Shamba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Sanaa kutoka BASATA, Augustino Makame na Katibu wa chama cha waandishi wa Habari...

 

10 years ago

Mwananchi

Magavana waweka mikakati ya sarafu moja

>Mgavana wa benki kuu za nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wamekubaliana kuandaa mifumo ya kisheria, taasisi na kuoanisha sera ikiwa ni utekelezaji wa itifaki ya kuanzisha Umoja wa Sarafu.

 

10 years ago

Vijimambo

WANAWAKE WAGOMBEA WAWEKA MIKAKATI YA KUSHINDA UDIWANI NA UBUNGE 2015

Mgeni rasmi wa katika Kongamano hilo Mhe. Getrude Mongella(kushoto) akiwa na baadhi ya wabunge wanawake wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania wakiimba nyimbo mbalimbali
Kwa Mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, Idadi ya Watanzania sasa imefikia milioni 44.9 huku wanawake wakiwa ni asilimia 51.3 ilihali wanaume ni asilimia 48.7. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 inabainisha kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni ya kidemokrasia, ya kidunia ambayo...

 

11 years ago

Michuzi

WATANZANIA WASOMAO BEIJING CHINA WACHAGUANA, WAWEKA MIKAKATI YA KUDUMISHA MUUNGANO


 Mwenyekiti mpya Suleiman Serera akishikana mkono na Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Bw. Daninga Philip. Wengine katika picha ni uongozi mzima wa Watanzania wasomao Beijing.   Mwenyekiti aliyemaliza muda wake wa Umoja wa wanafunzi wanaosoma Beijing, China (TzBeijing ) Bw.Philip Daninga akiongea na wanachama wa umoja huo muda mfupi kabla ya zoezi la kupiga kura lililofanyika mwishoni mwa wiki hii kwenye Ukumbi wa Ubalozi wa Tanzania, China. Wengine katika picha kutoka kushoto ni Bw....

 

9 years ago

Mtanzania

Kongamano la muziki wa reggae kufanyika leo

Innocent Nganyagwa reggaeNA THERESIA GASPER

BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kushirikiana na Kampuni ya Reggae Production House, iliyo chini ya Msanii Mkongwe wa reggae, Innocent Nganyagwa, limeandaa kongamano maalumu kwa ajili ya kurudisha hadhi ya muziki wa reggae nchini itakayofanyika leo katika makao makuu ya Basata Ilala jijini Dar es Salaam.

Kongamano hilo lina lengo la kurudisha muziki wa reggae jukwaani na kujadili mwelekeo wa muziki huo ili urudishe hadi yake.

Ofisa Habari wa Basata, Alistidesi...

 

5 years ago

Michuzi

MKOA WA KATAVI ,WADAU WAWEKA MKAKATI WA KUJENGA JENGO LA KISASA LA KLINIKI YA TIBA ASILI

Na Mwandishi Wetu,Michuzi Blog ya jamii

MKUU wa Mkoa wa Katavi Juma Homera amesema pamoja na kuendelea na shughuli mbalimbali za maendeleo ndani ya Mkoa huo kwa sasa wanaendelea na mkakati wa kujenga Kliniki ya Tiba asili kwa kushirikiana na wadau mbalimbali.

Kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa Homela ni kwamba wamefikia hatua hiyo baada ya wannanchi wa Mkoa huo na wadau wa tiba asili kutoa ombi hilo na hiyo ni baada ya kuwepo kwa vitendo vya udanganyifu katika utoaji wa tiba asili.

Amesisitiza kwamba ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Exclusive: Mtanzania DABO ametajwa kuwania tuzo za reggae za kimataifa na muziki wa dunia 2014 (IRAWMA)

10349153_841207622565532_7288991937464718532_n

Unaweza kuwa humfahamu kwa vile hana kelele nyingi….TUONYESHE UZALENDO KWA KUMPIGIA KURA SASA

Msanii bora wa muziki wa Reggae Tanzania, DABO (Pichani) amepata nafasi ya kuipeperusha bendera ya Tanzania katika anga za kimataifa, baada ya kuchaguliwa kuwania tuzo kubwa kabisa za reggae za kimataifa na muziki wa dunia 2014 (International Reggae and World Music Awards (IRAWMA).

DABO anawania tuzo hizi katika kipengele cha Mtumbuizaji Mpya Bora, akikabiliwa na ushindani kutoka kwa wasanii MC...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani