Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Basata wazidi kumpongeza Msama

msamaNa Mwandishi Wetu

BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata), limezidi kumpongeza Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya matamasha ya Krismasi na Pasaka, ambayo yanaonekana kuchangia maendeleo ya muziki wa injili Tanzania.

Kwa mujibu wa Katibu Mtendaji wa Basata, Godfrey Mngereza, matamasha ya Msama yanachangia maendeleo ya muziki wa injili ambayo ndiyo njia ya kufanikisha ujumbe wa neno la Mungu hasa kwa matukio mbalimbali.

Mngereza alitoa pongezi kwa Msama hasa kipindi hiki cha kuelekea mwishoni mwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali iunge mkono harakati za Basata, Msama Promotions

“Heshima ya Tanzania katika nyanja ya sanaa na utamaduni itatokana na uwepo wa wasanii wanaojitambua tangu wakiwa wadogo, ndiyo maana sisi Msama Promotions tunasisitiza umuhimu wa kuwajenga wasanii tangu wakiwa...

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge waungana kumpongeza Spika

Spika wa Bunge, Anne MakindaWABUNGE wamempongeza Spika wa Bunge, Anne Makinda kwa kusimamia kuanzishwa kwa Kamati ya Bunge ya Bajeti pamoja na Sheria ya Bajeti kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, jambo litakalodhibiti na kuziba mianya ya matumizi mabaya ya fedha za Serikali.

 

9 years ago

Mtanzania

Wasanii wapingana sherehe ya kumpongeza Rais

Rais Jakaya KikweteNA MWALI IBRAHIM

UMOJA wa mashirikisho ya sanaa Tanzania umepinga uwepo wa Umoja wa Wasanii ulioandaa sherehe ya kumuaga Rais Jakaya Kikwete katika ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Kamati ya umoja huo, Kimella Billa, alitangaza kutotambua umoja huo na kudai kwamba, kilichofanyika ni kinyume cha taratibu.

“Umoja huo haujasajiliwa, pia uwezo wa wasanii tunaufahamu, ni vigumu kufanya shughuli kubwa ile ambayo haikuwa na mdhamini, tunaamini kulikuwa na nguvu ya mtu...

 

10 years ago

Michuzi

MAULID YA KUMPONGEZA BI. ZAHRA MUHIDIN MICHUZI YAFANA SANA

Ankal Michuzi akimpongeza Binti yake Zahra wakati wa hafla ya Maulid ya Kumpongeza baada ya kulamba Nondozz yake ya kwanza ya Biashara na Uchumi katika Chuo Kikuu cha Dodoma hivi karibuni.Hafla hii imefanyika jana Nyumbani kwa Kaka wa Ankal,Tabata Kimanga jijini Dar es salaam. Baba Mkubwa wa Zahra,Ismail Michuzi akiongoza dua ya kuwakumbuka ndugu waliotangulia mbele ya haki kabla ya shereha ya Maulid ya kumpongeza Binti Zahra alielamba Nondozz yake ya Biashara na Uchumi katika Chuo Kikuu cha...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AHUDHURIA HAFLA YA KUMPONGEZA KWA UONGOZI MZURI


Rais Jakaya Kikwete akiwa na mtoto wa miaka minane aliejitambulisha kwa jina la Brian ambaye alitoa burudani ya kupiga kinanda wakati wa wimbo wa Taifa na nyimbo nyinginezo katika hafla ya USIKU WA JAKAYA uliofanyika usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya JW Mariott jijini Washington…

 

5 years ago

Michuzi

Baraza la wazazi Njombe lapitisha azimio la kumpongeza Rais Magufuli

Baraza la Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Njombe lililoketi Juni 20/2020 chini ya Katibu wake wa Mkoa Ndg, Hussein Mwaikambo (Senetor) pamoja na mambo mengine kwa kauli moja lilipitisha Azimio la kumpongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, John Pombe Magufuli kwa Utendaji wake uliotukuka.

Akizungumza na Wajumbe wa Baraza hilo kwenye Ukumbi wa Ofisi ya CCM Mkoa wa Njombe Ndg, Hussein Mwaikambo Katibu wa Jumuiya hiyo alisema, katika Kipindi cha Miaka mitano Rais...

 

10 years ago

Michuzi

SADC yaishukuru Tanzania kwa mchango wa ukombozi na kumpongeza Mzee Hashim Mbita


Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Rais Robert Gabriel Mugabe wa Zimbabwe akimkabidhi Bi. Sheila Hashim Mbita, binti yake Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita Tuzo ya Juu ya Taifa la Zimbabwe ya Nishani ya Royal Order Of Mwanamutapa kwa kutambua mchango wake katika ukombozi wa Taifa la Zimbabwe na nchi nyingine kusini mwa Afrika. Rais Mugabe alikabidhi tuzo hiyo wakati wa hafla ya ufunguzi wa mkutano wa 34 wa wakuu wa SADC unaofanyika katika mji wa kitalii wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani