Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali iunge mkono harakati za Basata, Msama Promotions

“Heshima ya Tanzania katika nyanja ya sanaa na utamaduni itatokana na uwepo wa wasanii wanaojitambua tangu wakiwa wadogo, ndiyo maana sisi Msama Promotions tunasisitiza umuhimu wa kuwajenga wasanii tangu wakiwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Serikali iunge mkono wajasiriamali wasomi

Serikali imeshauriwa kuwaunga mkono wahitimu wanaomaliza vyuo vikuu, ambao huamua kujiajiri, ili kuwapa hamasa ya kujiendeleza kimaisha.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Msama Promotions kuwapiga msasa waimbaji

KAMPUNI ya Msama Promotions ambayo ndiyo mwandaaji wa Tamasha la Pasaka, hivi karibuni inatarajiwa kuandaa semina kwa ajili ya waimbaji walioteuliwa kuimba katika tamasha hilo. Akizungumza jijini Dar es Salaam...

 

11 years ago

Michuzi

Msama Promotions yatangaza Viingilio Tamasha la Pasaka

 Sehemu ya Umati wa watu uliohudhuria tamasha la pasaka mwaka jana katika uwanja wa Taifa.
KAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, mwishoni mwa wiki iliyopita ilitangaza viingilio vya tamasha hilo litakalofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, viti vya kawaida ni shilingi 5000 na watoto 2000.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi, Alex Msama viti maalum ni shilingi 20,000 wakati VIP  ni shilingi 10,000.Msama alisema hivi sasa wanaendelea na mchakato wa kufanikisha...

 

9 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA MSAMA PROMOTIONS YAMWAGA MISAADA VITUO 10 VYA YATIMA

Halima Ramadhani ambaye ni Mkurugenzi wa Kituo cha Mwandaliwa cha Mbweni Dar es Salaam akipokea msaada wa vyakula pamoja na mahitaji mengine kutoka kwa Alex Msama.Sehemu ya msaada uliotolewa kwa vikundi 10 vya kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akiwa amembeba mtoto, Haidin Edwin wakati wa hafla ya kukabidhi misaada mbalimbali ikiwemo vyakula kwa vikundi 10 vya kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu, ...

 

11 years ago

Michuzi

MSAMA PROMOTIONS YATANGAZA VITUO VYA KUUZIA TIKETI ZA TAMASHA LA PASAKA

 KAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka imetangaza vituo vitakavyouzwa tiketi kwa ajili ya tamasha hilo kwa mkoa wa Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama tiketi hizo zitauzwa katika vituo vitano kwa lengo la kupunguza usumbufu kwa mashabiki wenye nia ya kushiriki tamasha hilo.
Msama alitaja vituo vitakavyouzwa tiketi hizo ni pamoja na Puma Mwenge na Uwanja wa Ndege, Best Bite Namanga, BM Kinondoni  na ofisi za Msama Promotions...

 

9 years ago

Michuzi

MSAMA PROMOTIONS KUANDAA TAMASHA LA KUIOMBEA TANZANIA INAYOELEKEA KWENYE UCHAGUZI MKUU


Mkurugenzi wa Msama Promotions akizungumza na Waandishi wa habari kwenye ofisi za kampuni hiyo,jijini Dar kuhusiana na kuandaa tamasha la kuiombea Tanzania inayoelekea kwenye uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika,Oktoba 25 mwaka huu,Tamasha hilo linatarajia kufanyika Oktoba 4.


KAMPUNI ya Msama Promotions imeandaa Tamasha kubwa la kihistoria ambalo halijawahi kufanyika nchini la kuiombea Tanzania inayoelekea katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA MSAMA PROMOTIONS YAKABIDHI MISAADA KWA VITUO VITATU VYA JIJINI DAR.

Mkurugenzi wa Msama Promotions,Alex Msama akimkabidhi Mkurugenzi wa kituo cha Mwandaliwa Islamic Orphans,Halima Mpeta (kushoto),hundi yenye thamani ya shilingi milioni moja na laki tano kwa ajili ya kulipia ada za shule za watoto hao Mkurugenzi wa Msama Promotions,Alex Msama akiwapa vifaa vya shule watoto wa kituo cha TOVICHIDO. Sehemu ya misaada hiyo ya vitu mbalimbali iliyotolewa na Kampuni ya Msama Promotions, kwa vituo vitatu vya watoto waishio katika mazingira magumu. Mkurugenzi wa...

 

9 years ago

Mtanzania

Basata wazidi kumpongeza Msama

msamaNa Mwandishi Wetu

BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata), limezidi kumpongeza Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya matamasha ya Krismasi na Pasaka, ambayo yanaonekana kuchangia maendeleo ya muziki wa injili Tanzania.

Kwa mujibu wa Katibu Mtendaji wa Basata, Godfrey Mngereza, matamasha ya Msama yanachangia maendeleo ya muziki wa injili ambayo ndiyo njia ya kufanikisha ujumbe wa neno la Mungu hasa kwa matukio mbalimbali.

Mngereza alitoa pongezi kwa Msama hasa kipindi hiki cha kuelekea mwishoni mwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani