Basi lapigwa bomu
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Mangu
NA EDITHA KARLO, KIGOMA
WATU watatu wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa baada ya watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi kulirushia bomu basi dogo la abiria.
Tukio hilo la kutisha lilitokea jana katika Kijiji cha Kilelema, Kata ya Kilelema, Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma.
Akizungumza na MTANZANIA kwa simu jana, dereva wa basi hilo namba T 570 CBE, Benedict Emmanuel, alisema basi lake lilipigwa bomu jana saa 12:15 alfajiri alipokuwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili26 Dec
Bomu lalipuka ndani ya basi Msri
10 years ago
Habarileo21 Aug
Bomu laua watu 3 kwenye basi
WATU watatu wamekufa na wengine sita kujeruhiwa na bomu la kurusha kwa mkono lililotupwa kwenye gari la abiria na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wilayani Buhigwe, katika Mkoa wa Kigoma.
10 years ago
Mwananchi21 Aug
Bomu larushwa ndani ya basi Kigoma, watatu wauawa, sita wajeruhiwa
10 years ago
Mwananchi21 Aug
Bomu latupwa ndani ya basi Kigoma, laua watatu na kuacha sita taabani
10 years ago
BBCSwahili24 Jan
The EastAfrican lapigwa marufuku TZ
11 years ago
Habarileo24 Feb
Bunge la Katiba lapigwa kalenda
DALILI za Bunge Maalum la Katiba kushindwa kumalizika ndani ya siku 70 za mwanzo, na hivyo kuhitaji kuongezwa siku nyingine zisizozidi 20 kisheria, zimeanza kuonekana mapema.
11 years ago
Mwananchi27 Feb
Soka la vijana lapigwa ‘tafu’
10 years ago
Vijimambo24 Jan
The EastAfrican lapigwa marufuku Tanzania
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/01/24/150124131150_eastafrican_512x288_bbc_nocredit.jpg)
Serikali ya Tanzania imepiga marufuku kuchapishwa na kusambazwa kwa gazeti la kila wiki la The EastAfrican kwa madai ya kuwa halijasajiliwa nchini humo.
Hata hivyo Wilfred Kiboro, mwenyekiti wa kampuni ya Nation Media Group, wachapishaji wa gazeti hilo la lugha ya kiingereza, ameeleza kuwa adhabu hiyo haikutarajiwa na wala haistahili na kubainisha kuwa wamekuwa wakisambaza gazeti hilo Tanzania kwa miaka 20 bila matatizo.
Kampuni ya Nation...
10 years ago
BBCSwahili31 Jan
Kundi la Hamas lapigwa marufuku Misri