Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kundi la Hamas lapigwa marufuku Misri

Mahakama moja ya Misri imelipiga marufuku tawi la kundi la Palestina Hamas nchini humo na kuliorodhesha kama kundi la kigaidi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Misri:Hamas si kundi la kigaidi

Mahakama nchini Misri imefuta hukumu ya awali ambayo ilikitaja chama cha Hamas cha Palestina kama kikundi cha kigaidi.

 

10 years ago

BBCSwahili

The EastAfrican lapigwa marufuku TZ

Tanzania imepiga marufuku kuchapishwa na kusambazwa kwa gazeti la kila wiki la The EastAfrican kwa mada ya kutosajiliwa

 

10 years ago

Vijimambo

The EastAfrican lapigwa marufuku Tanzania

Gazeti la The EastAfrican lapigwa marufuku Tanzania
Serikali ya Tanzania imepiga marufuku kuchapishwa na kusambazwa kwa gazeti la kila wiki la The EastAfrican kwa madai ya kuwa halijasajiliwa nchini humo.

Hata hivyo Wilfred Kiboro, mwenyekiti wa kampuni ya Nation Media Group, wachapishaji wa gazeti hilo la lugha ya kiingereza, ameeleza kuwa adhabu hiyo haikutarajiwa na wala haistahili na kubainisha kuwa wamekuwa wakisambaza gazeti hilo Tanzania kwa miaka 20 bila matatizo.

Kampuni ya Nation...

 

10 years ago

BBCSwahili

Vazi la Burqa lapigwa marufuku Cameroon

Maafisa wa serikali kaskazini mwa Cameroon wamepiga marufuku wanawake kuvalia vitambara vinavyofunika nyuso zao maarufu kama Burka.

 

5 years ago

BBCSwahili

Gazeti Tanzania Daima lapigwa marufuku kuchapishwa na kusambazwa ndani na nje ya Tanzania

Idara ya habari Maelezo nchini Tanzania, imepiga marufuku gazeti la Tanzania Daima kuchapishwa na kusambazwa popote nchini au nje ya nchi kufuatia uamuzi wa kusitisha leseni ya uchapishaji na usambazaji wa gazeti hilo la kila siku.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mapenzi ya jinsi moja Misri marufuku

Viongozi wa juu nchini Misri wametoa tamko baada ya uvamizi wakati wa usiku katika nyumba ya ubatizo mjini Cairo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ndege za Misri zapigwa marufuku Urusi

Mamlaka ya safari za ndege nchini Urusi imepiga marufuku ndege za shirika la taifa la ndege la Misri kuhudumu Urusi.

 

11 years ago

Dewji Blog

Wajumbe Kundi la 201 watoa tamko dhidi ya wanaolichafua Bunge Maalum la Katiba na Wajumbe wa kundi hilo

PIX 1

Askofu Amos Muhagachi akitoa tamko juu ya tuhuma mbalimbali dhidi ya kundi la 201 la wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba jana 03 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa Spika, Mjini Dodoma.

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.

WAWAKILISHI wa Taasisi za dini wa Bunge Maalum la Katiba toka wajumbe 201 wametoa tamko lao dhidi ya tuhuma mbalimbali zinazoendelea katika kulichafua Bunge hilo ikiwemo baadhi ya wajumbe wa kundi hilo wakituhumiwa kudaiwa kupewa rushwa.

Tamko hilo limetolewa jana 03 Septemba,...

 

11 years ago

Mtanzania

Basi lapigwa bomu

IGP Mangu

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Mangu

NA EDITHA KARLO, KIGOMA

WATU watatu wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa baada ya watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi kulirushia bomu basi dogo la abiria.

Tukio hilo la kutisha lilitokea jana katika Kijiji cha Kilelema, Kata ya Kilelema, Wilaya ya Buhigwe mkoani    Kigoma.

Akizungumza na MTANZANIA kwa simu jana, dereva wa basi hilo   namba   T 570 CBE, Benedict Emmanuel, alisema basi lake lilipigwa bomu jana saa 12:15 alfajiri   alipokuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani