Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mapenzi ya jinsi moja Misri marufuku

Viongozi wa juu nchini Misri wametoa tamko baada ya uvamizi wakati wa usiku katika nyumba ya ubatizo mjini Cairo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Jela kwa mapenzi ya jinsia moja Misri

Watu wanne nchini Misri ,wamehukumiwa kifungo jela kwa kosa la kushiriki mapenzi ya jinsia moja

 

9 years ago

BBCSwahili

Ndege za Misri zapigwa marufuku Urusi

Mamlaka ya safari za ndege nchini Urusi imepiga marufuku ndege za shirika la taifa la ndege la Misri kuhudumu Urusi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kundi la Hamas lapigwa marufuku Misri

Mahakama moja ya Misri imelipiga marufuku tawi la kundi la Palestina Hamas nchini humo na kuliorodhesha kama kundi la kigaidi.

 

10 years ago

Habarileo

Tanzania yapinga ndoa za jinsi moja

SERIKALI ya Tanzania imekataa rasmi kutambua ndoa za jinsia moja (ushoga) kama moja ya ajenda za maendeleo katika malengo ya milenia 2015 mpaka 2030 katika mkutano wa Umoja wa Mataifa. Hayo yalisemwa juzi jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy kwenye mkutano wa majadiliano ya malengo ya milenia yanayotazamiwa kumalizika mwakani na kuanza malengo mapya, akisema Serikali ya Tanzania imekataa kutambua ushoga kama moja ya ajenda za...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mapenzi ya jinsia moja yamponza Anwar

Hatima ya kiongozi wa upinzani nchini Malaysia Anwar Ibrahim ni mwezi march mwaka huu iwapo atafungwa jela ama la.

 

10 years ago

BBCSwahili

Msumbiji yakubali mapenzi ya jinsia moja

Msumbiji sasa inajiunga na nchi chache Afrika zinazokubalia mapenzi ya jinsia moja

 

10 years ago

GPL

MBARONI KWA MAPENZI YA JINSIA MOJA

Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa/Uwazi DUNIA imekwisha! Wasichana wawili warembo, Maua Sadick (24), mkazi wa Stakishari, Ukonga wilayani Ilala na Lucy Fred (23), mkazi wa Karakata jijini Dar es Salaam, wanashikiliwa katika Kituo cha Polisi Stakishari, Ukonga, Dar kwa kesi yenye jalada STK/RB/463/2015  wakidaiwa kufanya mapenzi ya jinsia moja.… ...

 

10 years ago

GPL

MSUMBIJI YAHALALISHA MAPENZI YA JINSIA MOJA

Wapenzi wa jinsia moja, wakitembea pamoja barabarani baada ya kuhalalishwa kwa sheria hiyo. Wakipita barabarani huku wakishangilia kupitishwa kwa sheria hiyo. Wapenzi wa jinsia moja…

 

10 years ago

BBCSwahili

Balozi wa mapenzi ya jinsia moja Vatican

Ufaransa imesema kuwa inangojea jibu kutoka kanisa Katoliki kuhusu uajiri wa balozi wa mapenzi ya jinsia moja huko Vatican

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani