Tanzania yapinga ndoa za jinsi moja
SERIKALI ya Tanzania imekataa rasmi kutambua ndoa za jinsia moja (ushoga) kama moja ya ajenda za maendeleo katika malengo ya milenia 2015 mpaka 2030 katika mkutano wa Umoja wa Mataifa. Hayo yalisemwa juzi jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy kwenye mkutano wa majadiliano ya malengo ya milenia yanayotazamiwa kumalizika mwakani na kuanza malengo mapya, akisema Serikali ya Tanzania imekataa kutambua ushoga kama moja ya ajenda za...
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili11 Dec
India yapinga wapenzi wa jinsia moja
10 years ago
Dewji Blog28 Oct
Tanzania yakataa rasmi ndoa za jinsia moja kwenye agenda za maendeleo ya milenia
Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa, Wanawake, Anna Collins akitoa hotuba yake wakati akifungua warsha ya siku moja kuhusu Malengo ya Milenia kwa washiriki mbalimbali na kwa kiasi ngani Tanzania imeweza kufikia malengo hayo.iliofanyika Makao Makuu ya Taasisi ya Uchumi na Utafiti wa Kijamii nchini (ESRF) Oktoba 27, 2014 jijini Dar es Salaam.
Na Mwandishi wetu
SERIKALI ya Tanzania imekataa rasmi kutambua ndoa za jinsia moja (ushoga) kama moja ya agenda za maendeleo katika malengo ya...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/0011.jpg)
TANZANIA YAKATAA RASMI NDOA ZA JINSIA MOJA KWENYE AGENDA ZA MAENDELEO YA MILENIA
10 years ago
BBCSwahili09 Dec
Mapenzi ya jinsi moja Misri marufuku
11 years ago
Mwananchi16 Feb
Je unatambua jinsi ya kuepuka mifarakano katika ndoa?(1)
11 years ago
Mwananchi23 Feb
Je unatambua jinsi ya kuepuka mifarakano katika ndoa?(2)
5 years ago
BBCSwahili22 Feb
Jinsi ndoa ya ''karaha 'ilivyomsaidia kuyaokoa maisha ya maelfu ya watu
10 years ago
Bongo Movies05 Jan
JB Aweka Wazi Jinsi Anavyompenda Mke Wake na Kuithamini Ndoa Yake
Mwigizaji na mwogozaji wa filamu za hapa bongo, Jacob Stephen ‘JB’ amefunguka ya moyoni juu ya upendo wake kwa mke wake na kuendelea kudumisha ndoa yao.
JB tofauti na mastaa wengi wa hapa bongo, amemuweka na kumwambia waziwazi mke wake wa ndoa maneno ya upendo ambayo huwafanya mashabiki wake wote kkujua na kumtambua shemeji yao au wifi yao.
JB leo hii ameweka picha hiyo mtandaoni akiwa na mke wake na kuandika maneno haya;
“Mke wangu,rafiki yangu, nampenda sanaa. Siku kama ya leo...
11 years ago
BBCSwahili15 Feb
Ndoa za jinsia moja zapingwa Uingereza