BBG yataka uwazi katika mikataba
Mwenyekiti wa kundi la wafanyabiashara wa Uingereza nchini (BBG), Christopher Ford ameiomba Serikali na wawekezaji kuweka wazi mikataba na mapato yao ili kuwatoa wasiwasi wananchi juu ya mustakabali wa rasilimali zao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima08 Dec
TAKUKURU yataka uwazi mikataba ya gesi
10 years ago
Uhuru Newspaper27 Oct
PAC yataka mikataba ya gesi
NA MARIAM MZIWANDA
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imelitaka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuwasilisha mikataba yote ya gesi ambayo haijafanyiwa ukaguzi.
Pia imeagiza kuwasilishwa kwa taarifa za mapitio ya mikataba hiyo kesho kwa Katibu wa Bunge baada ya saa za kazi ili ifanyiwe ukaguzi kubaini utekelezaji wa miradi.
Mwenyekiti wa PAC, Zitto Kabwe, alisema hayo jana wakati wajumbe wa kamati hiyo walipokutana na uongozi wa TPDC.
Alisema TPDC lazima iwasilishe...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-snhW14_9834/VkrcKtuPrgI/AAAAAAAIGUM/by4cMH0m2WA/s72-c/IMG_6395.jpg)
TANZANIA YATAKA MASHIRIKA YA UMOJA WA MATAIFA KUTEKELEZA KWA VITENDO DHANA YA UWAZI NA UWAJIBIKAJI
![](http://3.bp.blogspot.com/-snhW14_9834/VkrcKtuPrgI/AAAAAAAIGUM/by4cMH0m2WA/s640/IMG_6395.jpg)
5 years ago
CHADEMA Blog![](https://img.youtube.com/vi/3oqxHOLqISY/default.jpg)
10 years ago
GPLMR. UWAZI AGAWA SUKARI KWA WASOMAJI WA ‘UWAZI MIZENGWE’ DAR
10 years ago
GPLGAZETI LA UWAZI MIZENGWE KATIKA UBORA WAKE
9 years ago
Mwananchi12 Oct
Rais wa Namibia ataka uwazi katika chaguzi za Afrika
10 years ago
Dewji Blog19 Feb
Finland yaipongeza Zanzibar katika uwazi wa taarifa za ardhi
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati Zanzibar Nd. Ali Khalid Mirza (Kushoto) akiwasilisha hotuba yake kwa mgeni rasmi Balozi wa Finland nchini Tanzania Bi Sinnika Antilla (Kulia) katika Uzinduzi wa Mfumo wa Mtandao wa Upatikanaji Taarifa za Ardhi Zanzibar unaojulikana kama (Zanzibar Land Information Service) (ZALIS) uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Ardhi iliyoko Forodhani Mjini Zanzibar. (Picha na Miza Othman Maelezo-Zanzibar).
Na Abdulla Ali...
10 years ago
Mwananchi20 Aug
Usiri katika mikataba ni kwa faida ya nani?