Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BBS waja kivingine 2015

Mkurugenzi wa Benchmark Production, Rita Paulsen “Madam Rita”(katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu ufunguzi rasmi wa Bongo Star Search kwa mwaka 2015.

Gasto Shayo Afisa Masoko wa Salama Kondom ambao ndio wadhamini wakuu wa shindano la Bongo Star Search kwa mwaka 2015 akizungumza jambo kwa waandishi wa habari jana jijini Dar.

Mshereheshaji wa Uzinduzi wa Bongo Star Search 2015, Babbie Kabae akizungumza jambo

Mshindi Wa Bongo Star Search kwa Mwaka...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Lowassa aanza kivingine

LOWASANA ELIZABETH HOMBO, DAR ES SALAAM

WAKATI mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, akizindua kampeni zake juzi jijini Dar es Salaam kwa mkutano wa hadhara, mpinzani wake mkubwa ambaye ni mgombea wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, ameanza kwa mtindo wa aina yake wa kuwafuata wananchi mitaani.

Katika hali ambayo haijazoeleka katika siasa za Tanzania, jana Lowassa alifika kwenye kituo cha daladala kilichopo eneo la Gongo la Mboto,...

 

10 years ago

GPL

AZAM TV KUJA KIVINGINE

Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Azam Media, Tido Mhando, akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Tido akitoa ufafanuzi, (waliokaa ni wafanyakazi wa Azam Tv) wakimsikiliza.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tamasha la Pasaka kuja kivingine

TAMASHA la Pasaka la mwaka huu litakalozinduliwa rasmi Aprili 20 jijini Dar es Salaam likibeba kaulimbiu ya ‘Tanzania Kwanza Haki Huinua Taifa’, litaendeshwa kwa staili mpya ya wadau wenyewe kuamua...

 

9 years ago

Habarileo

Bondia Lulu Kayage ajipanga kivingine

BONDIA Lulu Kayage, ameingia kambini kujiandaa na mchezo wake dhidi ya bondia Mwanne Haji utakaofanyika Uwanja wa Jamhuri Morogoro, Desemba 25 mwaka huu.

 

9 years ago

Bongo5

Batuli kuja kivingine baada ya uchaguzi

12080693_790121817765870_2078775622_n

Muigizaji wa filamu, Batuli amesema amejipanga kuja tofauti katika filamu zake baada ya kujifunza mambo mengi kutoka kwenye kampeni za uchaguzi alizoshiriki.

12080693_790121817765870_2078775622_n

Batuli ameiambia Bongo5 kuwa atafanya kazi kubwa ili kuhakikisha kazi zake zinagusa maisha ya watanzania wa kawaida aliowaona wakati akizunguka kwenye kampeni za CCM.

“Nakuja kivingine kwa sababu nimejifunza mengi kwenye kampeni na kuna umuhimu wa kuviweka kwenye kazi zangu,” amesema. “Nitafanya filamu za kibongo kama kawaida lakini...

 

9 years ago

GPL

TAMASHA LA MAGARI NCHINI KUJA KIVINGINE

Kutoka kushoto ni Ofisa Masoko, Michael Kanyatta, Meneja Huduma wa kampuni ya Sanwa Service Ltd, Masao Kuwabara, Mkurugenzi Mtendaji wa Vision Investments, Ally Nchahaga, Meneja Masoko, Mori Bencus na Meneja kitengo cha huduma wa Vision, Dorah Raymond. Meneja Huduma wa Kampuni ya Sanwa Service Ltd, Masao Kuwabara akizungumza jambo.…

 

9 years ago

Global Publishers

Kiiza: Simba imebadilika, inakuja kivingine

HAMISI-KIIZAStraika Hamis Kiiza.

Wilbert Molandi,
Dar es Salaam
BAADA ya kufanikiwa kuwasajili Brian Majwega, Paul Kiongera na Danny Lyanga, straika Hamis Kiiza wa Simba amesema kikosi chao kimebadilika na sasa kina mwonekano mpya wa ushindi.
Majwega ni kiungo mshambuliaji kama ilivyo kwa Kiongera wakati Lyanga ni straika, wengine waliosajiliwa na Simba wakati huu ni beki Novatus Lufunga wa African Sports na straika Hija Ugando. Kiiza raia wa Uganda aliyewahi kuichezea Yanga, aliliambia Championi...

 

5 years ago

Michuzi

Huduma ya Tigo Rusha yaja kivingine

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Tigo Tanzania, David Umoh akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani ) kwa njia ya Mtandao wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Tigo Rusha Mapema leo Jijini Dar ES Salaam. Kampuni ya mawasiliano inayoongoza kwa kutoa huduma za kidigitali nchini, Tigo Tanzania leo imezindua huduma mpya iliyoboreshwa inayomuwezesha mteja wa Tigo kununua muda wa maongezi pamoja na vifurushi kutoka katika maduka ya Tigo (Tigo shops) na katika maduka ya rejareja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani