Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kiiza: Simba imebadilika, inakuja kivingine

HAMISI-KIIZAStraika Hamis Kiiza.

Wilbert Molandi,
Dar es Salaam
BAADA ya kufanikiwa kuwasajili Brian Majwega, Paul Kiongera na Danny Lyanga, straika Hamis Kiiza wa Simba amesema kikosi chao kimebadilika na sasa kina mwonekano mpya wa ushindi.
Majwega ni kiungo mshambuliaji kama ilivyo kwa Kiongera wakati Lyanga ni straika, wengine waliosajiliwa na Simba wakati huu ni beki Novatus Lufunga wa African Sports na straika Hija Ugando. Kiiza raia wa Uganda aliyewahi kuichezea Yanga, aliliambia Championi...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

LUNDENGA: Miss Tanzania inakuja kivingine

Miezi saba waliyokaa kifungoni, Kamati ya Miss Tanzania haikuwa imelala; imetengeneza mfumo mpya wa mashindano ya Miss Tanzania yanayofanyika kila mwaka.

 

9 years ago

Habarileo

Kiiza aibua mapya Simba

MSHAMBULIAJI wa Simba, Hamis Kiiza bado amebakisha wiki moja arejee uwanjani katika muda aliopangiwa na daktari wake, lakini sasa ameamua kuja kivingine. Kiiza raia wa Uganda, amesema ameuomba daktari wa Simba, Yassin Gembe amruhusu Jumatano aichezee Simba itakapokuwa inamenyana na Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mtanzania

Kiiza mchezaji bora Simba

KIIZANA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM

MSHAMBULIAJI wa Simba, Hamis Kiiza ‘Diego’, ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Septemba wa timu hiyo, iliyotolewa kabla ya kuanza kwa mazoezi yao Uwanja wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) jana.

Kiiza amepewa zawadi ya tuzo yenye picha ya kiatu pamoja na mpira na kiasi cha fedha cha Sh 500,000, akiwapiku wachezaji wenzake ambao nao walikuwa wakiishindania. Tuzo hiyo ya Kiiza imetokana na moto wake wa kufunga mabao Ligi Kuu akiwa kileleni amefunga...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kiiza atua rasmi Simba

Timu ya Simba imesema Mganda Hamisi Kiiza atakuwa chachu ya mafanikio katika msimu ujao baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili.

 

11 years ago

Mwananchi

Loga awaita Kiiza, Okwi Simba

Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic amesema yuko tayari kumpokea mshambuliaji yeyote kutoka Yanga iwe Hamis Kiiza au Emmanuel  Okwi kwani anaamini wote wanakiwango cha juu.

 

9 years ago

TheCitizen

Kiiza hits hat-trick as Simba win 3-1

Ugandan striker Hamis Kiiza scored a hat-trick to enable Simba Sports Club to beat Kagera Sugar 3-1 in the Mainland Vodacom Premier League match at the National Stadium in Dar es Salaam yesterday.

 

9 years ago

Habarileo

Kiiza awafariji Simba kipigo cha Prisons

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Simba, Hamis Kiiza amesema kufungwa na Tanzania Prisons ni changamoto kwao.

 

9 years ago

Habarileo

Yanga yabanwa, Kiiza arejesha furaha Simba

BAO pekee lililofungwa na Hamisi Kiiza jana liliiwezesha Simba kuibuka kidedea katika mchezo dhidi ya Coastal Union uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani