Lowassa aanza kivingine
NA ELIZABETH HOMBO, DAR ES SALAAM
WAKATI mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, akizindua kampeni zake juzi jijini Dar es Salaam kwa mkutano wa hadhara, mpinzani wake mkubwa ambaye ni mgombea wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, ameanza kwa mtindo wa aina yake wa kuwafuata wananchi mitaani.
Katika hali ambayo haijazoeleka katika siasa za Tanzania, jana Lowassa alifika kwenye kituo cha daladala kilichopo eneo la Gongo la Mboto,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mzalendo Zanzibar25 Aug
Lowassa Aanza kivingine: Tunataka Kiongozi anaejali Shida za Wananchi: UKAWA Chaguo lako Mtanzania.
NA ELIZABETH HOMBO, DAR ES SALAAM WAKATI mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, akizindua kampeni zake juzi jijini Dar es Salaam kwa mkutano wa hadhara, mpinzani wake mkubwa ambaye ni mgombea wa […]
The post Lowassa Aanza kivingine: Tunataka Kiongozi anaejali Shida za Wananchi: UKAWA Chaguo lako Mtanzania. appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Habarileo31 May
Lowassa aanza safari yake
ALIYEKUWA Waziri Mkuu, Mbunge wa Monduli mkoani Arusha, Edward Lowassa, ametangaza nia ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), ili awe mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar08 Oct
Dr. Slaa Aanza Rasmi Kumpigia Kampeni Magufuli……Asema Lowassa Hafai Kuwa Rais
Thursday, October 8, 2015 Siku chache baada ya chama cha ACT-Wazalendo kutoa tamko rasmi kuwa hawataweza kumruhusu Dk. Wilbroad Slaa kupanda kwenye jukwaa lao kumnadi mgombea urais wa chama hicho kwa sababu za kiusalama, jana mwanasiasa […]
The post Dr. Slaa Aanza Rasmi Kumpigia Kampeni Magufuli……Asema Lowassa Hafai Kuwa Rais appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Dewji Blog04 Jun
Lowassa atikisa Dodoma, achukua fomu aanza kusaka wadhamini “Chap Chap”, awazoa lukuki Dodoma
![](http://2.bp.blogspot.com/-XI55TSmPTBE/VXCKuKY22-I/AAAAAAAAUfk/lMX5cEApM-s/s640/LOwassa_fomu2.jpg)
10 years ago
GPLAZAM TV KUJA KIVINGINE
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
Tamasha la Pasaka kuja kivingine
TAMASHA la Pasaka la mwaka huu litakalozinduliwa rasmi Aprili 20 jijini Dar es Salaam likibeba kaulimbiu ya ‘Tanzania Kwanza Haki Huinua Taifa’, litaendeshwa kwa staili mpya ya wadau wenyewe kuamua...
10 years ago
Dewji Blog12 Jun
BBS waja kivingine 2015
Mkurugenzi wa Benchmark Production, Rita Paulsen “Madam Rita”(katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu ufunguzi rasmi wa Bongo Star Search kwa mwaka 2015.
Gasto Shayo Afisa Masoko wa Salama Kondom ambao ndio wadhamini wakuu wa shindano la Bongo Star Search kwa mwaka 2015 akizungumza jambo kwa waandishi wa habari jana jijini Dar.
Mshereheshaji wa Uzinduzi wa Bongo Star Search 2015, Babbie Kabae akizungumza jambo
Mshindi Wa Bongo Star Search kwa Mwaka...
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Kiiza: Simba imebadilika, inakuja kivingine
Straika Hamis Kiiza.
Wilbert Molandi,
Dar es Salaam
BAADA ya kufanikiwa kuwasajili Brian Majwega, Paul Kiongera na Danny Lyanga, straika Hamis Kiiza wa Simba amesema kikosi chao kimebadilika na sasa kina mwonekano mpya wa ushindi.
Majwega ni kiungo mshambuliaji kama ilivyo kwa Kiongera wakati Lyanga ni straika, wengine waliosajiliwa na Simba wakati huu ni beki Novatus Lufunga wa African Sports na straika Hija Ugando. Kiiza raia wa Uganda aliyewahi kuichezea Yanga, aliliambia Championi...