BELLA: NITAFANYA VITU VYA UKWELI
![](http://api.ning.com:80/files/R5SqbRTCmAEZ1n-eIsII64S2Q7*I*IzZgIJtE-QISrF-CmQAFC7R6u4AqKeavmd3GHD3XFWk7Oi2SAxRlN80HmqDcnCucPYX/BELLA.gif)
MFALME wa masauti, Christian Bella ‘Obama’ Jumatatu ya wiki hii alitua katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere,Dar akitokea nchini Sweden na kuweka wazi kuwa amerudi nyumbani rasmi. Mfalme wa masauti, Christian Bella ‘Obama’. Bella aliyekuwepo Sweden kwa mambo yake binafsi, aliwaambia mashabiki wake watarajie vitu vipya kwa kuwa alikuwa nje ya nchi kwa muda mrefu na aliwamisi sana. “Nimerudi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo504 Feb
Fanya vitu kwa usahihi na sio vitu sahihi tu!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YTFvh9JoYPFLOldU7OzclZB7sX80JOu-JRvXuA7BeOVkU2SyhgKy0tRF8-E142vNb4hwHCWXo5BD2JaaVdPob7GyJwDnk4-g/Lungi.gif?width=650)
LUNGI AKOMBWA VITU VYA NDANI!
9 years ago
Global Publishers18 Dec
Wastara auza vitu vyake vya ndani
Wastara Juma.
Imelda mtema
Inauma sana! Msanii wa filamu ambaye anasumbuliwa na tatizo na mguu, Wastara Juma inadaiwa hali aliyonayo kwa sasa si nzuri na kupata pesa ya matibabu imekuwa ngumu kwake hivyo ameamua auze baadhi ya vitu vyake vya ndani.
Ndugu wa Wastara aliyeomba jina lake lisiandikwe gazetini alisema kuwa, msanii huyo anapitia kipindi kigumu kwani anahitaji pesa nyingi ili arudi tena Nairobi kwa ajili ya matibabu.
“Kwa maumivu aliyonayo hapati hata muda wa kutoka, muda mwingi...
10 years ago
Tanzania Daima02 Sep
Vitu vya Coutinho, Jaja Uwanja wa Taifa kesho
TIMU ya Yanga kesho itashuka katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kucheza mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Thika Utd ya Kenya, ikiwa ni mara ya kwanza...
10 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-wkrPZxS_djA/VUeiRTw4PXI/AAAAAAAABds/FGJjo4oyDeA/s72-c/ferrari-enzo.png)
10 years ago
Dewji Blog20 Jan
Hellofood Tanzania celebrates first anniversary by signing a new partnership with Vitu Vya Khadija
Restaurant of fashion designer Khadija Mwanamboka joins collaboration with the online food delivery service
Founded by Africa Internet Group (AIG), the leading online food delivery service hellofood, celebrates its one year anniversary in Tanzania today. Twelve months after taking its first order, the company continues to grow further into the market with new exciting partnerships such as its recent collaboration with Vitu Vya Khadija owned by famous fashion designer, Khadija...
10 years ago
Michuzi12 Dec
5 years ago
BBCSwahili18 May
Virusi vya Corona: Vitu vinne muhimu unavyopaswa kuwa navyo
11 years ago
Dewji Blog10 Apr
Mnada mkubwa wa vitu vya Ubalozi wa Finland, Royal Danish Embassy na British High Commission
Auction Advert by zainul_mzige21