Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BENDI PENDWA TWANGA PEPETA ZIARANI NYANDA ZA JUU.

 Bendi pendwa ya African Stars “Twanga Pepeta” mwishoni mwa mwezi huu itafanya ziara ndefu ya maonyesho katika mikoa ya nyanda za juu kusini.   Twanga Pepeta itaanzia ziara yake NJOMBE siku ya Jumatano tarehe 26-03-2014 katika ukumbi wa Turbo.  Siku inayofuata tarehe 27-03-2014 siku ya Alhamisi kwa mara ya kwanza kabisa watakuwa Wilaya mpya ya MBABABAY katika ukumbi wa BAY LIVE SOCIAL HALL.   Ziara ya Twanga Pepeta siku ya Ijumaa tarehe 28-03-2014 itahamia Songea mjini katika ukumbi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Luizer Mbutu kuimba nyimbo zote alizoshiri katika bendi ya Twanga Pepeta

MWANAMUZIKI mkongwe pia Kiongozi wa bendi ya Twanga Pepeta Luizer Mbutu amesema katika kupamba usiku wa Luizer Mbutu ikiwa ni maadhimisho ya miaka 16 ndani ya bendi bila kutoka ataimba nyimbo zote za bendi ambazo alishiriki kwa namna moja ama nyingine.
Akizungumza na Ripota wetu jana Mbutu alizitaja baadhi ya nyimbo hizo kuwa ni ‘Kisa Cha Mpemba’, ‘Jirani’, ‘Fainali Uzeeni’, ‘Mtu Pesa’, ‘Safari 2005’, ‘Mwana Dar es Salaam’ , ‘Kuolewa’ pia kutakuwa na wimbo maalum siku hiyo.
Mbutu...

 

10 years ago

GPL

AMIGOLAS WA TWANGA PEPETA AFARIKI DUNIA

Mwimbaji wa zamani wa Twanga Pepeta, Hamis Kayumbu 'Amigolas' enzi za uhai wake. Mwimbaji wa zamani wa Twanga Pepeta, Hamis Kayumbu 'Amigolas'  amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kulazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa siku kadhaa. Amigo alilazwa Muhimbili kwa matatizo ya moyo ambapo taratibu za kufanyiwa upasuaji zilikuwa zikiandaliwa lakini mauti yakamkuta kabla ya lolote kufanyika. Mwimbaji huyu ambaye hadi...

 

10 years ago

Michuzi

Twanga Pepeta yapania Valentine Day

BENDI ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ usiku wa kesho itafanya onyesho maalum ya kusherekea siku ya wapendanao ‘Valentine Day’, kwenye ukumbi wao wa nyunmbi Mango Garden, Kinondoni.
Mkurugenzi wa bendi hiyo Asha Baraka amesema kuwa pia onyesho hilo watatambulisha nyimbo zao mpya zilizoko kwenye chati. Pia mkurugenzi huyo alisema kuwa bendi hiyo itapiga nyimbo zao zote za zamani zilizovuma wakati huo.
Aliwataka mashabiki wa bendi hiyo kujitokeza kwa wingi kuhudhuria onyesho la aina yake ambalo...

 

11 years ago

Mwananchi

Twanga Pepeta kutumbuiza ‘Valentine Day’

Dar es Salaam. Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ usiku wa leo itafanya onyesho maalum kusherekea siku ya wapendanao ‘Valentine Day’, kwenye ukumbi wa Mzalendo Pub, Kijitonyama, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mtanzania

Hassan Rehani awajibu walioikimbia Twanga Pepeta

dogoNA MWALI IBRAHIM

BAADA ya baadhi ya wanamuziki wa bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Ramadhani Athumani na Salehe Kupaza kueleza sababu iliyowafanya waikimbie bendi hiyo na kuhamia Double M Sound Plus ni maslai na madeni yao wanayoidai Twanga Pepeta, meneja wa bendi hiyo, Hassan Rehani, ameibuka na kukana madai hayo.

Wanamuziki hao tayari wameshatambulishwa rasmi kwenye bendi ya Double M Sound Plus iliyopo chini ya Mwinjuma Muumini ‘Kocha wa Dunia’, wamedaiwa kutumia maneno ya kudai...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfungo wafuta maonyesho Extra, Twanga Pepeta

KATIKA kuheshimu mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, baadhi ya bendi zimesitisha maonyesho yake zikitumia nafasi hiyo kujipanga zaidi kwa lengo la kuongeza makali yao. Kwa upande wa bendi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani